Nataka kusoma digrii online | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kusoma digrii online

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by JIWE2, Sep 24, 2010.

 1. J

  JIWE2 Senior Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Habari wana JF,

  Tafadhali naomba yeyote mwenye ufahamu huo anisaidie kwa kunijulisha taasisi za elimu zinazoaminika ambapo naweza kujiunga na kusoma kozi niitakayo online. interest yangu ni kwenye masuala ya sheria,mazingira,mipango na uchumi.
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Anza na jf tuangalie utaiweza online ama lah!!!
   
 4. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2013
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wewe kweli utingo...umekuwa na msaada sana kwa abiria kama mimi. Wewe utakuwa utingo wa ndege tu. Maana utingo wa vyombo vingine vya usafiri hawana msaada
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2013
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  karibu mkuu
   
Loading...