ndagalukwetu
Member
- Nov 30, 2018
- 14
- 9
- Thread starter
-
- #41
Asante mkuuUshaur wangu beba oil lita 2 kwenye beg;chukua kidumu cha lita 1 kwa ajili ya emergence,usisahau kuvaa makoti makubwa ya kuzuia upepo pamoja na buti,chukua mwamvuli njian hakutabiriki last hakikisha unapumzisha pikipiki atleast kwa kila km 300 pamoja na kuzingatia sheria za barabaran hususani site mirror
Asante mkuu kwa kunisaidiaJamaa kaomba ushauri wa namna ya kufika Moro kwa kutumia pikipiki yake.
Hajaomba ushauri wa kujua pikipiki yake ni Mchina/feki au ni ya Japan/Germany wala Italy.
Tujifunze kujikita kwenye mada husika,la sivyo JF itakuwa kama badoo/Facebook.
Ndio mkuu,nipeni uzoefu,japokuwa mm mzoefu sana wa kuendesha hii,sirari to mwanza ni kawaida kwanguUkitokea kijiji ccha ndagalukwetu huko Magu
Hii ni distance ya mwz to moro mkuu?Moro km 200 unafika bila shida
Wakuu habari,nauliza ili nipewe mwanga hapa,naitaji kusafiri kutoka mwanza kwenda morogoro kwa pikipiki sanlg 125 cc,je wataalamu wanisaidie hapa nifanyeje ili nifike vzr na hii pikipiki? Ni mpya ina miezi miwili,
Naombeni mchanganuo nifanye lipi na lipi ili niweze kufika kwa usafiri huu
Wanaforce sana mkuu hiyo sio salama kabisaProfessional driver wa pikipiki wengi ni vijana wa Arusha hiyo safari ya Mwanza-Moro kwa hizo pikipiki za kichina watu wanazo dharau anaenda vizuri tena kwa muda sahihi.
Wanaziita Toyo ukikutana nao wako na hizo Sanlg,Kinglion, Fekon na Huoniao hata za 125cc na anatembea umbali wa Dar-Arusha.
Muda mwingine penda kusikia hata ambayo huyapendiNa endapo MTU atakosa cha kujibu basi anyamaze kani usipojibu MTU it a fungi a?????watu wanashinda kujibu wnabaki kuhangaika tu
Eeeeeh hahhaha na mawemahitaji ya dharura;
1. oil
2. petrol
3. tairi la akiba
4. pump ya mkono
5. vifaa vya kuziba pancha
6. spana
7. maji ya kunywa
8. chakula kikavu
9. silaha/ kisu/ jambia/mawe
10. mavazi mazito na gloves
11. dawa za maumivu
12. uwe na m pesa kwa ajili ya vifurushi
13. mnyororo
14. line za simu mitandao yote, kuna maeneo mitandao flani haishiki.
zingatia hayo
AtarHuo mzigo anaupakia wapi
HahaSafiri usiku tu na upitie maporini/mbugani. Ukichoka lala chini ya mti au barabarani kabisa, wanyama wakali wakija watakunusa tu na kukulinda mpaka asubuhi.
MnooMKuu pikipiki yako inafika ila shida haina vifaa vinavyoisaport kufika,
Mfano unaweza kupasua tairi kama mara mbili hadi ufike, kwa tairi hizo kwa umbali wa km 300-400 kwenye lami tairi haitakuwa yenyewe,
Pia Mnyororo utazingua sana means unaweza katika hata mara tatu kama utakuwa unaunga huohuo
Pia Hiyo pikipiki ina vibration kubwa ambazo zinazidi uwezo wa spring sio nzuri kwa masafa marefu
Pia injini yake inachemka sana mkuu unaweza jikuta ikabust hata ukiwa na mapumziko must upumzishe chombo kwa takribani saa moja na nusu kabla ya safari kuanza tena
Pia sina uhakika mavazi utakayotumia kama yako sahihi sio mambo ya kukariri kuvaa sijui majaketi mazito sijui nini noo
Kuna helment nzuri sana zinazotumika kwa masafa marefu na hazitoki na hiyo pikipiki yako unanunua tu pembeni uziri wa hii helment nikwamba ni imara sana pia inakuwekea mfumo mzuri wa kupumua haikutengenezei joto kama zilizyo zingine
la hatari sina uhakika na uzoefu wa safari ndefu kwa pikpik unahitaji uzoefu kwa usalama wako
bila kupepesa macho unaweza kujikuta unalala hapo hapo juu ya chombo na bado kinatembea na ukija kuamka unajikuta upo ahera
Ushauri DONT TRY THIS MKUU
Unafamilia na Ndugu wanakutegemea na Bado Wanakuhitaji Sana
Pia Sisis Wana JF bado tunakupenda Mno