Nataka kupima ngoma

nenda upime tu kisha usitake kujua majibu, hiyo pia inatosha.

Kapime kisha mwaambie bwana Mganga (daktari) atakaye kupima kuwa akutumie majibu kwa njia ya posta. Easy...! kwenye bahasha anaweza kuandika kwa kutanguliza My dear Darling so and so... S.L.P 000, Mji Hapo ulipo...!

Ukifungua Barua haina kubembelezana... Just Two words... You are POSITIVE or NEGATIVE Kwisha...!

Then maswala mengine yatafuata.
 
mkuu kuuza timu basi unafikiri huwa napanga....najikuta tu nimeuza within 5 months nimeshauza timu mara 3 in different timu.....pamoja na kwamba sio vimeo saaana hizo timu

Unfikiri ngoma ipo kwa vimeo basi, hao hao wanaoonekana wachamungu wametulia ndio wanaua kinyama. So we nenda tu mkuu. Ushauri kwa wanaJF wote ''Nivizuri kuishi kama waathirika''. yaani zingatieni msosi sahihi, mazoezi, social activities and rectreation, etc walahi hata hiyo ngoma ukiipata haiwezi kukusumbua utaishi nayo miaka yote na haitakusubua.
 
Tena na kwa kasi hii ya kutafita dawa na kinga dhidi ya HIV... unaweza kujikuta unapatiwa matibabu...! Na kujikuta unapona ivi ivi...

Au unaweza kutumia njia m'badala... shwaaa kwa kakobe au yeyote aliye kukalia sawa...! Iman nayo inaponya ati!

Wacha woga dawa zipo!
 
mkuu kuuza timu basi unafikiri huwa napanga....najikuta tu nimeuza within 5 months nimeshauza timu mara 3 in different timu.....pamoja na kwamba sio vimeo saaana hizo timu

mkuu kuuza timu basi unafikiri huwa napanga....najikuta tu nimeuza within 5 months nimeshauza timu mara 3 in different timu.....pamoja na kwamba sio vimeo saaana hizo timu

Ngoja tutafute probability ya kuwa na ngoma kwanza ...

3 partners = 5 months
Kwa hiyo 3 x 12 partners = 5 x 12 months, yaani mademu 36 katika miaka 5
Assuming umeanza tabia hii miaka 10 iliyopita mpaka sasa una total ya 36 x 2 = 72 tu!
Assuming prevalence ya ngoma TZ ni 7% maana yake ushaingiza timu kusikotakiwa kwa mademu (7/100 x 72) = 5!

Risk ya kupata ngoma ukiingiza timu mara moja tu ni 0.0001, assuming huwa unaendwa chwaa, probability yako ni 5 x 0.0001 = 0.0005 au 0.05%

Kwa hiyo probability ni ndogo sana based on assumptions hizi; risk inaongezeka sana kama huwa unaingiza timu chwaaaaaaaa chwaaaaaaaaa kama mdau mmoja alivyonena hapo juu, au kama unachezea mombasa!

Baada ya hapo; ushauri - badili tabia kwanza, ukiweza ndio kapime, la sivyo uwe na sababu maalum kama hiyo ya 2010!
 
jamani nimekata shauri nusu nusu ila bado sijaamua mazima....nataka kupima ngoma......nishaurini.....

....kuhusu past yangu aaah maa jali huwa yanatokea ndomu kupasuka sometimes nimeuza timu sio sehemu moja........ vitu kama hivyo.....

...kila la kheri!

ushauri nasaha ni kwamba; majibu yakiwa 'NDIYO' shukuru mungu kwa kulitambua hilo mapema na uanze virutubishi vya kuongeza uhai. (Adv; utaishi miaka kumi na ushee bila watu kukushtukia)

la, jibu likiwa 'HAPANA' jua umetokea kwenye tundu la sindano, na ile raha raha yooote ulokuwa unaipata kwa kula peremende bila makaratasi yake sasa mwisho!

Nikunong'oneze; usikose kuja kutujuza yaliyojiri huko!
 
mkuu kuuza timu basi unafikiri huwa napanga....najikuta tu nimeuza within 5 months nimeshauza timu mara 3 in different timu.....pamoja na kwamba sio vimeo saaana hizo timu

...hapo kwenye sio vimeo saaaaana, :D kila mtu ndipo anapokimbilia tangu siku zileeeee...
 
...Ushauri kwa wanaJF wote ''Nivizuri kuishi kama waathirika''. yaani zingatieni msosi sahihi, mazoezi, social activities and rectreation, etc walahi hata hiyo ngoma ukiipata haiwezi kukusumbua utaishi nayo miaka yote na haitakusubua.

Tena na kwa kasi hii ya kutafita dawa na kinga dhidi ya HIV... unaweza kujikuta unapatiwa matibabu...! Na kujikuta unapona ivi ivi...

Au unaweza kutumia njia m'badala... shwaaa kwa kakobe au yeyote aliye kukalia sawa...! Iman nayo inaponya ati!

Wacha woga dawa zipo!

...:D:D:D wazeee nimejikuta nacheka kwa sauti hapa naona hata majirani watanishangaa huko nje duuuuuuuuuuuuuh! eti ' ni vizuri kuishi kama muathirika', halafu eti ' unaweza kujikuta unapatiwa matibabu na kupona'....ha ha haaaaa....

ama kweli, hata mie woga umenitoka wa kwenda kupima kwa mara ya nne, madhali X-paster unasema dawa zipo, nami najitia kitanzini wiki ijayo...!!!
 
Ngoja tutafute probability ya kuwa na ngoma kwanza ...

3 partners = 5 months
Kwa hiyo 3 x 12 partners = 5 x 12 months, yaani mademu 36 katika miaka 5
Assuming umeanza tabia hii miaka 10 iliyopita mpaka sasa una total ya 36 x 2 = 72 tu!
Assuming prevalence ya ngoma TZ ni 7% maana yake ushaingiza timu kusikotakiwa kwa mademu (7/100 x 72) = 5!

Risk ya kupata ngoma ukiingiza timu mara moja tu ni 0.0001, assuming huwa unaendwa chwaa, probability yako ni 5 x 0.0001 = 0.0005 au 0.05%

Kwa hiyo probability ni ndogo sana based on assumptions hizi; risk inaongezeka sana kama huwa unaingiza timu chwaaaaaaaa chwaaaaaaaaa kama mdau mmoja alivyonena hapo juu, au kama unachezea mombasa!

Baada ya hapo; ushauri - badili tabia kwanza, ukiweza ndio kapime, la sivyo uwe na sababu maalum kama hiyo ya 2010!

Hizi Probability zimekaa sawa kweli...!?

3 girls in 5 months hii ina maana kwa mwaka ni: 3 = 5/ Ȼ = 12

So: 3x12 = Ȼx5
- 36 = Ȼ5
- Ȼ= 7.2 this is average of partners per 1yr

So... kama ameanza 10 yrs back this mean 10x7.2= 72 partners.

- probability yako 0.0001 ina maana kuwa kwa kila watu 10,000 mmoja anaweza kuwa ameambukizwa.

probability hapa ni 0.0001 x 72= 0.0072

Makisio ya karibu hapa ni sawa na kusema nafasi ya kuambukizwa ni 0.01 hii ni kusema kila wanawake kumi uliotembea nao katika wale 72 mmoja anaweza kuwa ni carrier.

So nenda kapime, na zingatia ushauri wangu wa mwanzo hapo juu.
 
Last edited:
Mkuu Yo Yo

Kupima ngoma(HIV/AIDS) kwa mara ya kwanza ni ngumu sana,unasita sita na zaidi unawaza matokeo yakija inakuwaje? +ve au -ve

Umefikiria kwenda kupima nakushauri uende,vizuri ukajua mwenendo wa afya yako upande huo unaomaliza wengi! Kuwa strong tena usubiri na majibu, maana ukipima na kukimbia haisaidii kabisa.

Incase of anything nenda na taxi ili hata ukichanganyikiwa baada ya majibu uwe na usafiri wa kurudi home usije gongwa na gari bure au kukimbia ovyo barabarani kwa mshtuko, japokuwa nakutakia kipimo chema na matokeo mazuri!..
 
Hizi Probability zimekaa sawa kweli...!?

3 girls in 5 months hii ina maana kwa mwaka ni: 3 = 5/ Ȼ = 12

So: 3x12 = Ȼx5
- 36 = Ȼ5
- Ȼ= 7.2 this is average of partners per 1yr

So... kama ameanza 10 yrs back this mean 10x7.2= 72 partners.

- probability yako 0.0001 ina maana kuwa kwa kila watu 10,000 mmoja anaweza kuwa ameambukizwa.

probability hapa ni 0.0001 x 72= 0.0072

Makisio ya karibu hapa ni sawa na kusema nafasi ya kuambukizwa ni 0.01 hii ni kusema kila wanawake kumi uliotembea nao katika wale 72 mmoja anaweza kuwa ni carrier.

So nenda kapime, na zingatia ushauri wangu wa mwanzo hapo juu.

Nadhani interpretation sahihi ya risk ama probability hiyo ni kuwa risk ya kuambukizwa kwa tendo moja la ngono, bare, PV ni 0.0001 (female to male) kwa hiyo kama hao wote 72 walikuwa na ngoma na lifanya nao kimoja kimoja, bare, PV ndio probability ni 0.0072.

* by the way, probability ya male to female iko juu zaidi, 0.0009!
 
hii nimeipenda..lol!

Shem kumbe wewe ni muuza mechi eeehhh unapata allergy na condo*** nakushauri uwe unalala mapema, acha pombe, Msuba, fanya mazoezi, mrudie Mungu.....pima CD4 kama ziko chini ya 200 anza ART....pole sana Yo Yo!
 
tehe tehe sasa shem mbona umenipa majibu kabla ya kupima?

mechi kuuuza wengi tunauza bana sema wengine hawasemi hadharani......kuna jamaa mmoja alipata mlupo alikuwa njwiii....akatafuta zana zake saaafi zile za bei kubwa......kesho yake asubuhi kumbe zana alivaa kwenye kidole gumba mguuni akala kavu kavu.....alidata....
 
Yo Yooooo unanichekesha mie .duuh umeuza timu lakini sio vimeo .kazi kweli kweli .nenda kapime mkuu
 
Mazee rate yako ya kuuza mechi imenitisha sana.....wengi huwa tunauza mechi ila mara chache chache sana!

tehe tehe sasa shem mbona umenipa majibu kabla ya kupima?

mechi kuuuza wengi tunauza bana sema wengine hawasemi hadharani......kuna jamaa mmoja alipata mlupo alikuwa njwiii....akatafuta zana zake saaafi zile za bei kubwa......kesho yake asubuhi kumbe zana alivaa kwenye kidole gumba mguuni akala kavu kavu.....alidata....
 
..Incase of anything nenda na taxi ili hata ukichanganyikiwa baada ya majibu uwe na usafiri wa kurudi home usije gongwa na gari bure au kukimbia ovyo barabarani kwa mshtuko,..

...wewe unamtishia 'kuwehuka' sasa :)
 
Naona wengi tungefurahi kama ingetokea mtu au kampuni ika develop kamtambo ambako unakanunua na kujipima mwenyewe ukiwa chumbani kwako kimyaaaaa, majibu siri yako!
YoYo pia siku hizi ukimtia mwanamke mimba ni lazima wampime kirusi so unaweza kupata status yako kupitia kwa mwenzako, japo kuwa njia hii siyo 100% lakini unaweza kupata ma hope kidogo.
 
...:D:D:D wazeee nimejikuta nacheka kwa sauti hapa naona hata majirani watanishangaa huko nje duuuuuuuuuuuuuh! eti ' ni vizuri kuishi kama muathirika', halafu eti ' unaweza kujikuta unapatiwa matibabu na kupona'....ha ha haaaaa....

ama kweli, hata mie woga umenitoka wa kwenda kupima kwa mara ya nne, madhali X-paster unasema dawa zipo, nami najitia kitanzini wiki ijayo...!!!

Ehe, na huo ndio ukweli wenyewe. Huoni kuna njemba zilisha tangaziwa ngoma miaka 20 sasa lakini bado zinadunda kwa kasi ileile na afya haziteteleki. Acha woga mkulu
 
Yo Yo nenda kapime unaweza ukajikuta wewe ni kama wale jamaa wa Uganda... Hawapati Ngwengwe... hata wakishiriki na waathirika... Baada ya hapo unaendeleza dry au kwa lugha nyingine M-BICHI-M-BICHI LOL...
 
jamani nimekata shauri nusu nusu ila bado sijaamua mazima....nataka kupima ngoma......nishaurini.....

....kuhusu past yangu aaah maa jali huwa yanatokea ndomu kupasuka sometimes nimeuza timu sio sehemu moja........ vitu kama hivyo.....

Mkuu, huo mzigo wa mawazo ungekuta ulishautua kitambo kwa kukata shauri 100%. Hata kama uliuza timu au kucheza rafu hakuna njia ya mkato zaidi ya kwenda kupima. Kila la kheri.
 
Naona wengi tungefurahi kama ingetokea mtu au kampuni ika develop kamtambo ambako unakanunua na kujipima mwenyewe ukiwa chumbani kwako kimyaaaaa, majibu siri yako!
YoYo pia siku hizi ukimtia mwanamke mimba ni lazima wampime kirusi so unaweza kupata status yako kupitia kwa mwenzako, japo kuwa njia hii siyo 100% lakini unaweza kupata ma hope kidogo.

...hata wasipowapa majibu, hali ya mama na kichanga zikiwa bado imara miaka miwili na zaidi (bila ukurutu na majipu ya hapa na pale) aaahhh, 'umevuka'!!!
 
Back
Top Bottom