KAKA,KAMA VIPI usiende!
naona kama ITAKUSUMBUA
Mkuu Kafara, is this a fact?
Mkakati usio wa kidaktari maana yake nini? tuwe serious wazee, najua kuna watu kibao humu ndani wanaface same issue kama Yo Yo na wameuchuna huku wakifuatila kila ushauri unaotolewa hapa.
So, tell us more...nipo interested na hii
uongo kabisa.
mkakati simpo (usio wa kidaktari) wa kupata ujasiri wa kupima ngoma ni kwa kuanza na kupima mkojo. ukiona white blood cells zipo nyingi ujue uwezekano wa ngoma upo juu lol halafu mkojo unaweza pima hata home tu.
kuna matatizo elfu moja ya kiafya yaweza kusababisha kuongezeka white blood cells kwenye urine, kwa hiyo kisa cha kufikiria ngoma?! na sio UTI au hizo conditions zingine 998?uongo kabisa kwa nini?
kwani si kweli kwamba white blood cells zikiwa
nyingi kwenye mkojo haziashirii tatizo la kiafya?
kumbuka sikusema ukipima mkojo utajua status yako
ya hiv bali nimesema itakupa ujasiri wa kupima hiv.
Du hii kali...white blood cells in urine shows presence of lentivirus !!!! this should be a nature paper. Hii ni ya kuongea kwenye karata, madraft, mabao na kwenye vijiwe..
kuna matatizo elfu moja ya kiafya yaweza kusababisha kuongezeka white blood cells kwenye urine, kwa hiyo kisa cha kufikiria ngoma?! na sio UTI au hizo conditions zingine 998?
haya ndio maneno. sio kusema tu "uongo kabisa" kwa herufi nyekundu.
si unaona unanielimisha kwamba uti na condizions nyingine zote zinaweza
kukupata wakati wewe mwenyewe mwili bado upo fit.
aidha maneno yangu sio uongo kabisa kwani ngoma ni mojawapo ya
hizo conditions 1000.
Teh teh teh, nilikuwa naweka msisitizo kwa sababu hiyo itapoteza watu.
Anyways, tuko pamoja, PEACE AND LOVE!
uongo kabisa kwa nini?
kwani si kweli kwamba white blood cells zikiwa
nyingi kwenye mkojo haziashirii tatizo la kiafya?
kumbuka sikusema ukipima mkojo utajua status yako
ya hiv bali nimesema itakupa ujasiri wa kupima hiv.
PASAKA NJEMA, usije kusahau NO nyama mpaka j5. lolnimekupata lol
nakutakia matayarisho mema ya pasaka
na pasaka njema
Shem hii ni bongo kila kitu kinawezekana....Du hii kali...white blood cells in urine shows presence of lentivirus !!!! this should be a nature paper. Hii ni ya kuongea kwenye karata, madraft, mabao na kwenye vijiwe..
Shem hii ni bongo kila kitu kinawezekana....
...bado nafikiria kupima......dadako wa kisukuma analazimisha sana....nishazua safari zisizo rasmi ili kukwepa lakini kazidi kukomaa....
Kubali yaishe mapema kuliko kujipa pressure. Nenda peke yako kwanza kama una wasiwasi sana. Mambo yakiwa fresh ndio unaenda naye kwa mara ya pili kama anataka ku-confirm.kama sitaki hata zije lori 800 za fidifosi sipimi....dadake masanilo kakomaa kinoma wiki hizi 2 kanifanya nikose raha....
Shem hii ni bongo kila kitu kinawezekana....
...bado nafikiria kupima......dadako wa kisukuma analazimisha sana....nishazua safari zisizo rasmi ili kukwepa lakini kazidi kukomaa....
Sio kichekesho hicho we pwagu wewe. Yo Yo akikutwa ana kinga ya asili basi aendeleze kufanya mapenzi "dry...mbichi mbichi" aeneza mdudu na kuua, kwa vile yeye ana kinga, unadhani utani huo? Halafu unajichekesha. Mijitu mingine sijui imejaa mataputapu na turkey stuffing ndani ya fuvu?
...Kafara, una uhakika unazungumzia (WBC count) kwenye mkojo, na sio kwenye damu?
...kwa ufahamu wangu, (basic) wawezajua White Blood Cell, na Red Blood Cell counts kwenye ESR test, (erythrocyte sedimentation rate).
...ukikuta chembe za damu kwenye mkojo, huenda kuna athari kwenye kibofu, figo...nk... (au kichocho!)