mnakuwaje kupanda ngazi humu? maana sijaingia humu kupost mambo au ndio maana nimo ngazi ya chini? naona waliojiunga juzi ni member na mie ni junior member
mnakuwaje kupanda ngazi humu? maana sijaingia humu kupost mambo au ndio maana nimo ngazi ya chini? naona waliojiunga juzi ni member na mie ni junior member
Hapa kaka ni mwendo wa performance based assessment, si unaona sugu kajiunga chadema mwaka huu na mwaka huu kachukua ubunge! sasa usiseme kapendelewa!
kwa kukusaidia, kupanda rank hapa inategemea na idadi ya post zako kwa mf: ukifikisha 50 utakuwa senior member........250 senior expert member etc. Sasa sio nimekudokezea siri ndio uanze kupost hata upuuzi, kuna kitu kinaitwa BAN! OOOh!
Hapo kwenye red, ilikuwa siyo lazima useme uko wapi au ndio kusema mwenzetu unabeba boksi mpaka unakosa muda wa kuchangia mawazo na wana jf wenzio......ah! nakutania tu kaka, hata mie mwenyewe nabeba boksi hapa ughaibuni! ha ha ha!
mnakuwaje kupanda ngazi humu? maana sijaingia humu kupost mambo au ndio maana nimo ngazi ya chini? naona waliojiunga juzi ni member na mie ni junior member
mnakuwaje kupanda ngazi humu? maana sijaingia humu kupost mambo au ndio maana nimo ngazi ya chini? naona waliojiunga juzi ni member na mie ni junior member
hi there mi nazani hapa ni kujaribu ku keep up with other people. visit the website as often as u can ... read others comment and try to leave urs to.. im new here as well just join on 1.11.10..... and im trying to keep up to lol .... i dont live in TZ either but whnever i have got time i just jump in the net... lol Take care
unanipa ushauri halafu unasema sina SENKSI ndio nini? nimesema sipo tz sababu nilidhani mtu unajiunga kupanda juu kwa pesa, na ndio maana ingekuwa hivyo basi mtu angenipa ushauri wa kufanya
kuuliza sio ujinga
by the way niko nje ya nchi kwa muda sio kimoja nina shughuli nafanya