Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
....na tukinasana ajue kbs kuwa atakatwa nanilii yake.
Nilete kifanyio changu kwako sikipendi!!?? thubutu yako, i still have kids to manufacture
....na tukinasana ajue kbs kuwa atakatwa nanilii yake.
Yu sai it..........ningeshangaa sana........No 6 Kiungo mkabaji wa kupanda na kushuka. Tena ingekuwa vyema zawadi iwe gambe
Zawadi itakuwa kreti kadhaa za bia kama tukishinda.
Ila wakishinda wao itabidi kila mchezaji achague soda moja au maji uhai ya 600...
pole jamani))))) hope utakipata soon iko unachomissdah nipo lakini kuna kitu namiss
Hii itakuwa kati ya walevi na masober wa humu Chit-Chat (kama wapo).
Mimi binafsi nitakuwa Team Alcoholic na nitacheza siku hiyo... So far nawatambua rasmi Kaizer, Madame B na Asprin kama wachezaji wangu halali...
Wazo langu bado ni la kufirika, mnaweza kulipa nyama zaidi ili kulifanikisha. Original idea niliiona mitaa ya Mwananyamala Kisiwani ambako masober walishinda 1-0, wakapata zawadi ya mbuzi mee na kilo 15 za mchele (bila kusahau kreti mbili za soda).
Wakafanya kigodoro cha kusherekea na wakatualika kiroho safi.
Can we?
Pasiasi ulikuwa umefata nini?
Sawa mutu ya watu, tutaleta bajeti yetu pasi na shaka.
Duuuuuh Noma! Kwa hiyo refa ni nani?hiyo mechi itafanyikia uwanja gani?
mamaaaaa..........moja ya masharti ya mechi ni kwamba kabla ya mechi timu ya walevi lazima wagonge Wanzuki, Heineken, Viroba n.k kabla ya mechi...
jamani si unacho wewe.....pole jamani))))) hope utakipata soon iko unachomiss
nenda na maji ya batri ni dawa toshaTunaruhusiwa kuja na "maji ya uhai" kwa ajili ya kurifreshi misuli?
mm siko bana na kuvutiwa na wakaka kivile mm napenda wadada tu ingawa sijawai ila napenda tu one day nijaribu so mm na ivuga just kidding arround hata yy anajua)))Em jibu kwanza dai langu la msingi, maana ungeujua moyo wangu wewe mtoto?
Hayo ya mechi baadae...
sizani kama unachotafuta ninacho mie jamani am not surejamani si unacho wewe.....
mm siko bana na kuvutiwa na wakaka kivile mm napenda wadada tu ingawa sijawai ila napenda tu one day nijaribu so mm na ivuga just kidding arround hata yy anajua)))
Mphamvu nipange namba 7 kwenye hiyo timu. Kudadaki napiga hizi 3, yaani hatrik then naondoka na mpira.
Hiyo timu ya walevi St. Paka Mweusi asipokuwa mkoba naandamana na mechi haitachezeka......