Nataka kuoganaizi mechi ya soka.


Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,711
Points
2,000
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,711 2,000
Hii itakuwa kati ya walevi na masober wa humu Chit-Chat (kama wapo).
Mimi binafsi nitakuwa Team Alcoholic na nitacheza siku hiyo... So far nawatambua rasmi Kaizer, Madame B na Asprin kama wachezaji wangu halali...
Wazo langu bado ni la kufirika, mnaweza kulipa nyama zaidi ili kulifanikisha. Original idea niliiona mitaa ya Mwananyamala Kisiwani ambako masober walishinda 1-0, wakapata zawadi ya mbuzi mee na kilo 15 za mchele (bila kusahau kreti mbili za soda).
Wakafanya kigodoro cha kusherekea na wakatualika kiroho safi.
Can we?
 
Last edited by a moderator:
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,198
Points
2,000
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,198 2,000
babes wangu watakuwa washangiliaji.....kuna watu wana wivu sana....wasije wakawabutua nikakosa huduma......akaa....
cc.. mtu chake... TANMO... KakaKiiza... Erickb52....
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Messages
4,400
Points
1,225
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2012
4,400 1,225
Mi nataka Chilli na tedo wawe magolikipa ili wakiruka kudaka mpira nawabutua vichwa juu kwa juu
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,079
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,079 2,000
Duuuuuh Noma! Kwa hiyo refa ni nani?hiyo mechi itafanyikia uwanja gani?
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Afu ktk hao wachezaji wako halali kutomtambua kwako player kama figganigga Mzee wa Rula, Nicas Mtei , Filipo , Mungi , na Erickb52 kutakufanya FIFA wayafungie mashindano.
 
Last edited by a moderator:
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,711
Points
2,000
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,711 2,000
Afu ktk hao wachezaji wako halali kutomtambua kwako player kama figganigga Mzee wa Rula, Nicas Mtei , Filipo , Mungi , na Erickb52 kutakufanya FIFA wayafungie mashindano.
Wanahusika wote hao, niliwahakiki wale tu ambao nina uhakika nao.
FIFA hawana chao kwenye mashindano yetu...
 
Last edited by a moderator:
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,913
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,913 2,000
moja ya masharti ya mechi ni kwamba kabla ya mechi timu ya walevi lazima wagonge Wanzuki, Heineken, Viroba n.k kabla ya mechi...
 
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
16,398
Points
2,000
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
16,398 2,000
Hii mechi inabidi tuichezee sehemu nyingine. pale mwananyamala panajaa maji so kama mvua ikinyesha inaweza tuharibia pambano. hii mechi inabidi ichezewe mtaani. kama vipi tufunge ule mtaa wa makochi pale moroco tuweke magoli ikishindikana tuipeleke pale uwanja wa makuti msasani nyuma ya ubalozi wa marekani. mimi nacheza namba 9. baada ya mpira tunakutana pale chato street ofisi za mtaa wa mikocheni/migombani wanatengeneza mdudu vizuri na masanga yapo. chimbo zuri sana. mia
 
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
8,973
Points
1,500
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
8,973 1,500
Mimi nitakuwa Refa, manake sifungamani na upande wowote kati ya pande tajwa hapo juu...
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Mimi nitakuwa Refa, manake sifungamani na upande wowote kati ya pande tajwa hapo juu...
Unatuthibitiaje? Maanake Preta keshakulisti kwenye kundi mojawapo kt ya hayo ujue?
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,283,748
Members 493,810
Posts 30,799,708
Top