Nataka kuoganaizi mechi ya soka.

Hii mechi inabidi tuichezee sehemu nyingine. pale mwananyamala panajaa maji so kama mvua ikinyesha inaweza tuharibia pambano. hii mechi inabidi ichezewe mtaani. kama vipi tufunge ule mtaa wa makochi pale moroco tuweke magoli ikishindikana tuipeleke pale uwanja wa makuti msasani nyuma ya ubalozi wa marekani. mimi nacheza namba 9. baada ya mpira tunakutana pale chato street ofisi za mtaa wa mikocheni/migombani wanatengeneza mdudu vizuri na masanga yapo. chimbo zuri sana. mia

Wewe jamaa utakuwa jirani yangu, unaonaje game ikachezwa pale Old Trafford adjacent na Ubalozi wa Marekani, afu tukitoka hapo straight kwa rasta kupata mdudu ft. vinywaji.
 
Wewe jamaa utakuwa jirani yangu, unaonaje game ikachezwa pale Old Trafford adjacent na Ubalozi wa Marekani, afu tukitoka hapo straight kwa rasta kupata mdudu ft. vinywaji.
pametulia. tatizo humu jf hakuna wachezaji. tatizo pale trafford wanakua vijana wanafanya mazoezi mda mlefu so yahitaji timing coz wanafanya mazoezi asubuhi na jioni. itabidi mtu wa mipango ili tusibugudhiwe coz pale mateja wote wa msasani hadi oysterbay wanakutania pale. but sisi wenyewe wababe. mia
 
Mimi na wewe H.E. Founder tena?
Kama bia na nyama ya nguruwe, count it in mkaka, jezi no 6 mgongoni.

Yu sai it..........ningeshangaa sana........No 6 Kiungo mkabaji wa kupanda na kushuka. Tena ingekuwa vyema zawadi iwe gambe
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom