Nataka kuoganaizi mechi ya soka.

Hii itakuwa kati ya walevi na masober wa humu Chit-Chat (kama wapo).
Mimi binafsi nitakuwa Team Alcoholic na nitacheza siku hiyo... So far nawatambua rasmi Kaizer, Madame B na Asprin kama wachezaji wangu halali...
Wazo langu bado ni la kufirika, mnaweza kulipa nyama zaidi ili kulifanikisha. Original idea niliiona mitaa ya Mwananyamala Kisiwani ambako masober walishinda 1-0, wakapata zawadi ya mbuzi mee na kilo 15 za mchele (bila kusahau kreti mbili za soda).
Wakafanya kigodoro cha kusherekea na wakatualika kiroho safi.
Can we?

mmmhhhh hii ni hatari hasa kwa wapenda sober...
 
Last edited by a moderator:
Wewe Arushaone wacha mikwara banaaa! Wewe na mpira tangu lini wakati watoto wakicheza nje bahati mbaya mpira ukaingia ndani unaenda hadi kuvunja vyombo kabatini kwa vile hakuna wa kuu-control wote mnauogopa!

Duh duh duh duh!
Arushaone kuya ujibu tuhuma huku...
 
Last edited by a moderator:
Mimi sitiraika. Ila sijaelewa maana ya jina la timu b'

Sober ni mtu asiyetumia ulevi (lazima atakuwa malaya tu), hao ndio wenye wataunda chama kubwa Team Non-Alkoholik, ukipenda Juice United
 
naruhusiwa kuwa mshika kibendera??

Hatubanwi sana na sheria za FIFA, all we need ni refa wa katikati na ofisa wa nne au kamisaa, refa wa kati atakuwa Ruttashobolwa ila kamisaa hajapatikana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom