Habarini wana JF, leo nimeamka na wazo jipya kidogo. Nimeona dada zetu wakiolewa na hawa jamaa wenye asili ya kiasia lakini sijawahi kuona wanaume wakioa dada zao. Hivyo nashindwa kujua kama upo uwezekano huo. Je! kama hapa Bongo ni ngumu nikiamua kuwafuatilia huko kwao India inawezekana? Naomba mtu mwenye ufahamu na nchi hiyo mila na taratibu zake za kindoa anijuze kwani nimeamua kutoka moyoni kutafuta Fedha kwa ajili ya mpango huo. Pia naomba mwenye maelezo ya kina juu ya gharama za usafiri wa kwenda India maisha ya huko si vibaya akanifahamisha pia!
kuna jamaa yangu hapa dodoma anaitwa dogo nyenze kaoa kalasinga.<br />
mtafute atakupa maujanja anakaa nkuhungu.
Siku hizi wahidi wanamegwa tu mkuu.
Mbona bongo hapa wahindi kibao tu wanajiuza! Cha msingi jamaa ataweza mana nasikia hawa wenzeni ni full chemchem maji 24 hrs. Inahitaji mpiga mbizi hayseee, jamaa akajifunze kwanza diving.
Mkuu,
Hao viumbe sio kabisa.
Kwanza hawachezwi, kwahiyo kwenye mambo yetu yale anakuwa kama mdoli aka toy!.
Pili ni wa baridi mno. Kwahiyo utalimiss lile joto la kike!
Tatu ni maji. Wana maji mengi sana kule maeneo utadhan kilimanjaro natural spring. Ni mwendo wa kubadilisha shuka kila round na kufua respectively. Achilia mbali kukosa mnato, pia utakosa utamu maana akikohoa tu, mnaanza upya!
Sikushauri kabisa hao viumbe.