Nataka kuoa lakini imani inaleta shida.

...:eek: kumbe watoto wa kike "mtihani" ehh? ...lol.
Mtoto ni mtoto bana, hata wa kiume aweza acha dini, mila na desturi za kwao na kufanya kinyume na matakwa yenu wazazi.

Acha tu babangu. Mama aliwahi muambia shemeji yake 'mtoto wa kike Hana dini. Wewe ulimbadili mdogo wangu dini, mwanzo nae atabadilishwa'
Pata picha bintiyo anakuletea mchumba pagani, AMA freemason kabisaa. Ni ku-cross fingers tu aisee
 
Dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....Kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.

Kama binti ni muislam basi ni vizuri akabadiri kuwa mkristo nadhani kila mtu anajua kuwa waislam wanafuga majini, uneducated na uchafu mwingine.
 
Oh ckujua umgonjwa kias hiki, iz there a doc in the house plzzzzz.....................get well soon fazaa
Hahaha nakumbuka kale kamsemo kanasema; Let us select some sick people and allot them between us and try to heal them by prayer.

BTW hakuna mtu asiye ugua hata wewe ni mgonjwa tu huwezi kujisifu una uzima daima :poa
 
dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.
wewe acha utani dini zipo nyingi sana labda uelewa wako ndo maana unajua hiyo moja tu.halafu mtu mwenyewe hajataja yeye au mwenzie ni dini gani lakini ushaanza kubashiri?
 
kuna wenzio huwa wanautukana ukristo maeneo ya ya uwanja wa manzeze karib na soko la manzese darajan pale, nna uhakika pale panakufaa zaid na utabwatuka yote unayoyataka na unavyojiskia, tuache watu tuchambue yenye msingi humu, naamn hakuna dn inayompeleka mtu mbingun, By the way Mungu ni mmoja na katuumba wote kwa hyo kwangu kabla ya uislam au ukristo ubinadam unaanza kwanza....
Nilijua utakuja na maneno mengi yasio na mana lolz.


Mimi sijawatukana nacho sema wapi Yesu kasema yeye ni mkristo au tufate dini ya ukristo sababu dini ya haki.
 
Kwa mtazamo wangu, watu ambao wafaa kuoana imani tofauti ni wasomi, sababu usomi kwa kiasi fulani unakupunguza ile hali ya imani ambayo huwaga so very high katika kuathiri matendo yako tokana na exposure hasa kielimu na kimantik ya maisha ya kisasa as opposed na dini kuwa absolute measure ya maamuzi...

Otherwise wahusika wawe exceptionally waelewa; kitu ambacho ni msingi saana katika maisha yenu ya ndoa hasa makuzi ya watoto. Hakuna kibaya kama vile kuwaconfuse watoto kwa kila mzazi kung'ang'ania mtoto afuate imani yake.. inakuwa inamuathiri psychologically....
 
Kama binti ni muislam basi ni vizuri akabadiri kuwa mkristo nadhani kila mtu anajua kuwa waislam wanafuga majini, uneducated na uchafu mwingine.
We hujui kama mungu kaumba majini na binadamu ili wamuabudu? Sa usione ajabu waislamu wakifuga majini.
 
wewe acha utani dini zipo nyingi sana labda uelewa wako ndo maana unajua hiyo moja tu.halafu mtu mwenyewe hajataja yeye au mwenzie ni dini gani lakini ushaanza kubashiri?
Nyingi tu za kujitungia dini ya Mungu ni moja tu :bounce:
 
BUCHANAGANDE ameshakwambia ukitoa mahari nae atabadili sasa wasubiri nini na umejihakikishia ndio wife uliyemteua kati ya wote
 
Last edited by a moderator:
Wana JF wenzangu, naomba mnisaidie kuhusu hili linalonikabili
Nina rafiki yangu MWENYE UMRI WA MIAKA 25 (AMEMALIZA CHUO KIKUU, 2011) Yeye ni wa Imani tofauti na yangu lakini nimempenda na nimedhamilia kuishi naye kama my wife lakini tatizo kubwa kwake ni kwamba HATAKI kubadili IMANI yake mpaka hapo nitakapokwenda kutoa MAHALI kwani anasema kwa mila za kwao (KINGONI) HAKUNA KISHIKA UCHUMBA WALA UCHUMBA bali kuna URAFIKI then Ukienda kujitambulisha nyumbani kwao ndo unatoa na MAHALI JUMLA JUMLA.
Naombeni msaada wenu kwa sababu nimekuwa nikimsisitiza sana lakini yeye anakataa kwa kusema kuwa:-
1. Nikibadilisha Imani na wewe ukanikataa ITAKUWAJE?
2. Naishi na mamdogo wangu, Hivyo nikibadili IMANI hatanielewa kwani ni MKALI SANA-Ila kama ningekuwa naishi na Mama mzazi ambaye alikuwa mwelewa-NINGEBADILI NA ANGENIELEWA NA NISINGEPATA SHIDA YOYOTE.
Yeye anaonekana Kumtii mama yake Mdogo sana kuliko yeyote yule. Je Nifanyeje? NAOMBA MSAADA WENU.

Msaada gani ndugu yangu unautaka wakati kila kitu kishanyooka?
Ili mtu awe my wife wako lazima upitie taratibu zitakazoondowa utata wa ndowa yenu, kwenu na jamii. Sasa mwenzio huyo my wife wako tobe anakutaka umuondoshee matatizo kwake na kwa jamii yake, unasita nini? Au bora ungemwambia ukweli kuwa hutaki kununua mbuzi alie guniani, unataka uonje ili uridhike kama bidhaa ni safi? Mwambie ukweli kwani una haki ya kutowa masharti yako nae ayapime na kuamuwa.
 
.....tii "machale" yako, mapenzi sio kila kitu katika maisha. Tofauti yoyote kubwa uionayo/unayoigundua kipindi cha uchumba ujue "itakukwaza" tena huko mbele ya safari.

Love is not blindness, ....you choose not to see (the truth)

bonge la point arif!
 
75f5682fa5f60390fad837d616dcb1b726bb875a7b351262b453795829e37daa.jpg
 
MREJESHO:-
Ahsanteni sana kwa ushauri wenu. Wengi wameshauri nimwache na kiukweli nimeshamwacha maana tulifikia mahala yeye akawa ana wasiwasi wa mimi kumwacha hali akiwa kabadili imani nami nikawa na wasiwasi kwamba akinidanganya kabadili then tunaoana halafu anaikana hiyo imani yangu itakuwaje na watoto watalelewaje? SO NIKA-CONCLUDE KWAMBA ITS BETTER KILA MMOJA ATAFUTE MCHUMBA WA IMANI YAKE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom