Nataka kuoa lakini imani inaleta shida.

Kwa mtazamo wangu, watu ambao wafaa kuoana imani tofauti ni wasomi, sababu usomi kwa kiasi fulani unakupunguza ile hali ya imani ambayo huwaga so very high katika kuathiri matendo yako tokana na exposure hasa kielimu na kimantik ya maisha ya kisasa as opposed na dini kuwa absolute measure ya maamuzi...

Otherwise wahusika wawe exceptionally waelewa; kitu ambacho ni msingi saana katika maisha yenu ya ndoa hasa makuzi ya watoto. Hakuna kibaya kama vile kuwaconfuse watoto kwa kila mzazi kung'ang'ania mtoto afuate imani yake.. inakuwa inamuathiri psychologically....

hakika umenena kwa mtazamo chanya.nafikiri hapa wote tujifunze.ubarikiwe sana.
 
Dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....Kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.

Dah, kumbe kuna watu mmepotea kiasi hiki, pole we! Huo uislamu wenyewe kumbe huujui vizuri maana hata kitabu chenu mnachokiita kitukufu hukisomagi. Uliza watu wanaokisoma utaelewa kuwa maandiko mengi yaliyomo mule wamechukua toka kwenye Biblia ambayo ilikuwepo kwanza.
 
Dini tofauti kazi sana, hata reasoning ya kawaida kkabisa huutofautiana.

Stick to the devil you know.
 
Hujampenda ww huyo binti, hivi ww unafikiri mchumba unatafuta tu hovyo hovyo kama unavyoenda kununuwa nyanya sokoni,na huyo binti alifanya la maana kweli kushikilia msimamo wake wa kuto badili dini mpaka uchumba
 
MREJESHO:-
Ahsanteni sana kwa ushauri wenu. Wengi wameshauri nimwache na kiukweli nimeshamwacha maana tulifikia mahala yeye akawa ana wasiwasi wa mimi kumwacha hali akiwa kabadili imani nami nikawa na wasiwasi kwamba akinidanganya kabadili then tunaoana halafu anaikana hiyo imani yangu itakuwaje na watoto watalelewaje? SO NIKA-CONCLUDE KWAMBA ITS BETTER KILA MMOJA ATAFUTE MCHUMBA WA IMANI YAKE.

Good!!!!!umefanya jambo la maana sana..
 
Nyie mnasema Yesu ni mtoto wa mungu wakati hamuwezi kutueleza wapi Mungu kasema ana mtoto>Point ya pili vitabu vyenu vya dini vinakan'yagana mara mnasema Yesu ni mungu mara vinakataa chukua mfano the old testament has very explicitly and emphatically enjoined belief in one God....Sasa kama mnaamini Mungu ni mmoja vipi na Yesu awe mungu?

Hajakosea Yesu alipowajibu ->>I am not sent but unto the lost sheep of the house of Israel (Matthew 15:24)

Mtabakia kuwa makondoo tu hamuwezi kutueleza wapi Yesu kasema fateni ukristo au Yeye dini yake ni kristo.

Usipotubu na kuokoka wewe, na bado utaendelea sana ku confuse!
 
Tufike mahali tuheshimu watu, dini zao bila kutoa matusi kama haya! Dini haimfundishi mtu kukashfu wenzake. Muombe Excel radhi mkuu...


Umemsoma na yeye alichosema au umeiona yangu tu?
 
Last edited by a moderator:
Kafiri ni kama vile Excel

ohhh!!!.... but you may be right... mimi ni kafiri as long as sijatajwa katika qur'an..

mimi si mwislam mkuu... mimi si mwislam kabisa!!


iam proud to be born a christian.. thanks for your consideration..

i love JESUS CHRIST.. AND I WAS SAVED BY HIS BLOOD..

THANKS... Excel NI KAFIRI... TENA KAFIRI MKUBWA!

THAT IS WHAT IS ALWAYS YOU ISLAMS SAY.. THAT CHRISTIANS ARE MAKAFIRI!!!

good.. thank you again stata mzuka..
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada una tatizo la kukosa msimamo. Mwanadada amekataa uchumba. Anakuhesabu rafiki mpaka ukaoe. Je ukienda kutoa posa ikapokelewa na hoja yako ya kubadili imani ikakataliwa utafanyaje. Inaonekana mwanadada yuko juu wewe uko chini, huo ni mwanzo baya saana. Acha kwenda kwa macho ya kibinadamu. Omba na wanamaombi na mungu atakujibu. Chagua msichana asiye na kikwazo chochote. Mahusiano yenye masharti hayafai.
Amkaaaa.
 
Dini ya kujitungia!!! Anyway mimi si muumini wa DINI ILA namwamini Mungu. Labda nikupongeze kwa dini yako isiyoyakutunga ambayo imekuwezesha kushinda dhambi e.g. Uzinzi, Hasira, Wizi, unafiki, choyo, utapeli na nk. Hongera sana.
Dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....Kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom