Nataka kuoa, je nijiandae na changamoto zipi?

Nataka kuoa, je nijiandae na changamoto zipi?

Simama na ufanye wewe kama wewe

Usipende kupewa sapoti weka jitihada zako binafsi.
 
Mkuu ndoa ni mwanamke , tumia muda wako wakutosha mchunguze kama huyo ndie chaguo lako kuna leo na kesho ndoa ni ngumu usikurupuke kila mtu ana madhaifu yake...kazi kwenu
 
ndoa ilio salama haijawai kutokea,kila mausiano yana changanoto zake ila kikubwaa tamaa utikisa pakubwa na kuchangia pakubwa zaid kudhohofsha ndoa,lengne kua na kauli njema zenye busara,tumia hekma katka maamuzi ,
 
Mi kuna baamedi alitaka nimpe mimba tu (pamoja na kujua nimeoa tayari) anadai mtoto atalea mwenyewe. Baada ya siku 2 anaomba 20,000 eti kakosa nauli ya kuja kazin. NiliBLOCK+kuDELETE namba simultaneously (within a second).
 
guys kama kichwa kinavyojielezea,ni kwamba nataka kuvuta jiko even if sina kazi maalum yani permanent.je kuna changamoto zipi inabidi nijiandae nazo,na kipi wanajukwaamnaweza kunishauri,ambao mpo ndani ya ndoa je kipato changi cha elf 5 mpka 10 kwa siku naweza kusurvive kwenye ndoa maana mwenzangu yupo tayari kwa lolote ila tu anahitaji ndoa
ushauri wenu tafadhali
1. Mkeo kuchepuka na watu wenye kazi maalumu na pesa

2. Utatawaliwa na mawazo hutaona raha ya maisha mke atakufijirisha sana avae na kula nini

3. Heshima itapungua mkeo atakudharu hutimizi haja zake kipesa nk

4. Kuchokana hasa katika sex
 
Kumpenda mtu na kuishi nae n vitu viwili tofauti kabisa
 
Mkuu ndoa ni mwanamke , tumia muda wako wakutosha mchunguze kama huyo ndie chaguo lako kuna leo na kesho ndoa ni ngumu usikurupuke kila mtu ana madhaifu yake...kazi kwenu
Perfect. Huyo kijana bado hajawa tayari kuoa
 
Jinsi tu ya kuishi na huyo Kiumbe. Hayo mengine utazoea but stress za mkeo hutazizoes mpk uko kaburini
 
guys kama kichwa kinavyojielezea,ni kwamba nataka kuvuta jiko even if sina kazi maalum yani permanent.je kuna changamoto zipi inabidi nijiandae nazo,na kipi wanajukwaamnaweza kunishauri,ambao mpo ndani ya ndoa je kipato changi cha elf 5 mpka 10 kwa siku naweza kusurvive kwenye ndoa maana mwenzangu yupo tayari kwa lolote ila tu anahitaji ndoa
ushauri wenu tafadhali
Jiandae mkeo kutoka nje ya ndoa kunyonya dushelele la maex wake pia kufuata kunyonywa k na kuliwa tigo na maex stay tuned.
 
Back
Top Bottom