jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,883
- 10,221
guys kama kichwa kinavyojielezea,ni kwamba nataka kuvuta jiko even if sina kazi maalum yani permanent.je kuna changamoto zipi inabidi nijiandae nazo,na kipi wanajukwaamnaweza kunishauri,ambao mpo ndani ya ndoa je kipato changi cha elf 5 mpka 10 kwa siku naweza kusurvive kwenye ndoa maana mwenzangu yupo tayari kwa lolote ila tu anahitaji ndoa
ushauri wenu tafadhali
ushauri wenu tafadhali