Ukajibuje?Kuna binti mmoja mtoto wa Waziri fulani...
Nilimtongoza ...
Nkamwambia malengo yangu nae...
Jibu alilonipa baba yako na baba yangu wakikaa pamoja watazungumza nini Cha maaana.
Nakuombea na hongera shemeji yake MoWadau Salam
Nampenda sana Dadayake Mo Dewji anaitwa Fatma Dewji nina nia naye ya kumuoa kujenga malengo pamoja.
Ninawezaje kukutana naye kwa urahisi ili ku-propose dhamira yangu kwake.
Nafikiri nina Hold mengi ya kufikisha kwake na atayapokea.
Nawasilisha