Kama una mkwanja, wee oa tuu. Maana wengi wao wamezoea kukunja pesa za offer na keep change kwa siku hakosi 10,000. Bado akiondoka na kichwa kimoja kila siku hakosi 20,000. Sasa kama wewe maisha yako ni ya kuunga unga, ukiyumba kidogo tuu utasaidiwa kutunza familia.
"Nilimwopoa bar nikamwelewa sana, nikamwachisha kazi, nikaoa kabisa na kumzalisha na nilikuwa vizuri kiuchumi lakini ile kukaa mbali nae miezi kadhaa tuu ndoa ilibidi ifutike ikabakia kuwa historia ya miaka minne" aliandika mwana JF mmoja