Nataka kuoa barmaid. Je, nitadumu nae?

Nataka kuoa barmaid. Je, nitadumu nae?

Joined
Aug 25, 2018
Posts
84
Reaction score
72
Nimetokea kumpenda Dada mmoja hivi ila ni muhudumu wa bar,sina uzoefu sana na watu hawa ila tangu nianze nae uhusiano ni mwaka sasa kila aikitoka kuuza huwa anakuja home kulala muda ule wakufunga bar ila tatizo ni moja tu yeye Anajiamini sana ila Mimi kidogo kaimani hakapo kulingana na mazingira yenyewe,ila ndugu zake wote wanajua na baadhi yao! Wamefika hadi nyumbani na kulala kabisa.

Hapa naomba ushauri,kama unauzoefu na wa hudumu wa bar pia hata mambo nisiyoyajua kuwahusu ni vyema wenye uzoefu tukajuzana,

Pia itapendeza hata kuniambia mambo ambayo naweza kwenda kukabiliana nayo huenda kwa sasa anaficha ili zoezi la kumuoa lifanikiwe pia ananiforce sana nikamtolee barua,kuhusu afya tumecheki mda si mrefu!

Naweza kuwasilisha,hasa mapopo wenzangu tusitupane sana apo!
 
Haya wazee wa MMU kuna uzi umepotea njia huku njooni mtoe uzoefu, mkuu wewe tulia watakupa majib, japo ningekushaur uhamishie huu uzi kule mana kuna wahenga kule huku hawafiki kbsa.

NOTE: Kuna baba mchungaji wa kanisa flan hapa kitaa n mwaka sasa kila siku mda wa maombi anaomba waumini wamwombee migogoro iishe kwenye familia yake, Mwanae nae anaomba ndoa aliyofunga na Mwanakwaya mwenzake siku moja ipate amani.

Jiongeze mwenyewe, akili kumchwako, zaid ya hapo sina nijuala nimekaa kaa tu
 
Mkuu,ingawa simjui huyo baamed,ila inategemea unaweza kudumu nae sana sana tuu kuliko wasio baamed,Inategemea anajielewa vipi Maisha,kajifunza nini,Na Nini malengo yake Kwako!
 
Mkuu,ingawa simjui huyo baamed,ila inategemea unaweza kudumu nae sana sana tuu kuliko wasio baamed,Inategemea anajielewa vipi Maisha,kajifunza nini,Na Nini malengo yake Kwako!
OK nakuelewa mkuu;
 
Hiyo ni Kazi kama Kazi zingine. Angalia tabia sio Kazi. Na ukimpata mwenye kujielewa huwa wanakua wake bora sana wa kutoka sekta hiyo kuliko.
 
Mi sipendi kumpa mtu moyo, wote waliokushauri ukae nae nina uhakika wengine hawajawahi hata kugonga barmaid.

Kwa uzoefu wangu, sijawahi kumtaka mwanamke wa Bar akakataa.

Fanya haya kumchunguza:
1. Huwa hawasave namba za wateja, ukishika siku yake angalia namba alizowasiliana nazo mara ya mwisho au ukiwa nae utaona zinapiga namba ambazo hazijaseviwa (atajifanya hamjui huyo mtu)
2. Siku nyingine bar inawahi kufungwa hasa katikati ya wiki lakini yeye atakwambia amechelewa wateja walikuwa wengi (anapita kutafunwa hata bao moja)... au anawahi kwenda kazini, anapitia kupigwa kimoja cha faster
3. Ndani ya wiki kuna siku moja anakuwa off, hiyo ndio siku anatumika hasa.

Twende mbele, turudi nyuma "KUNGURU HAFUGIKI"
 
mwanamke wa kuoa awe anakuheshimu ajue wapi mnatakiwa mfikie ndoto zenu ajue kuwa ndoa sio tamthilia ni uhalisia awe na akili ya kupambanua mambo na kupambana sio unamuoa anakuja kupack body ghetto,elimu yake au kazi yake isikuzuie kufanya tendo unalotaka kufanya.

*ikifika wakati wa kuoa uso wa makeup maneno matamu tunaweka pembeni tunapandisha mezani tabia na akili yako katika kuyakabili matatizo*
 
Nimeshuhudia hao barmed wengineo wakidumisha ndoa zao kwa muda mrefu sana na kwa amani kubwa tu, kuna jirani yangu(barmed) ameishi na mumewe na akazaa naye zaidi ya watoto sita hadi mumewe alipofariki kwa ajali. Kwa tabia nzuri aliyokuwa nayo wengineo wanamsaka hadi leo yu wapi ili waishi naye ila alihama haya maeneo.
 
Fuata moyo wako, anaweza akawa mke mzuri sana mpk ushangae.
Ila kumbuka kuna upande wa pili pia. Jilipue!
 
Inategemea kabila gan maana wahudumu weng wa bar wanakuwa warangi, wachaga,wanyaturu na wanyiramba watu wa kondoa huko Yan hizo kabila Ata wasipojushughulisha na bar ni shida wanatusaidia Sana hpa mjin kw ss mabachelor Yan ww ukioa mwanamke wa bar ni saw na kumnunua mwanamke
 
Nimetokea kumpenda Dada mmoja hivi ila ni muhudumu wa bar,sina uzoefu sana na watu hawa ila tangu nianze nae uhusiano ni mwaka sasa kila aikitoka kuuza huwa anakuja home kulala muda ule wakufunga bar ila tatizo ni moja tu yeye Anajiamini sana ila Mimi kidogo kaimani hakapo kulingana na mazingira yenyewe,ila ndugu zake wote wanajua na baadhi yao! Wamefika hadi nyumbani na kulala kabisa,

Hapa naomba ushauri,kama unauzoefu na wa hudumu wa bar pia hata mambo nisiyoyajua kuwahusu ni vyema wenye uzoefu tukajuzana,

Pia itapendeza hata kuniambia mambo ambayo naweza kwenda kukabiliana nayo huenda kwa sasa anaficha ili zoezi la kumuoa lifanikiwe pia ananiforce sana nikamtolee barua,kuhusu afya tumecheki mda si mrefu!

Naweza kuwasilisha,hasa mapopo wenzangu tusitupane sana apo!
Usijaribu kuoa barmaid utajuta
 
Back
Top Bottom