inshallah wee oa tu mkuu.
yaan hayo ndo maisha wengine tunafurah kutoka katika kifungo cha ndoa wengine wanafurahia kuingia katika ndoa yaani ni mzunguko usio na kanuni maalum.
so oa boss hahaha.