Nataka Kununua Terios KID

Nataka Kununua Terios KID

fikrapevu sungura

Senior Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
110
Reaction score
11
Wadau yeyote anayejua nataka kununua TERIOS KID DAIHATSU cc 650 sijui utumiaji wake wa mafuta. Nataka iwe inanisaidia kwenda nayo kazini. Kwasasa nina NOAH inakula sana mafuta. Tafadhali aliyewahi kutumia gari hii anijuze 1 lita inakwenda kilometa ngapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom