Nataka kununua gari used

Admin1988

JF-Expert Member
Mar 30, 2017
1,603
1,835
Habari wakuu
Nataka kununua gari used,
1. Escudo ya 1999 cc.1950
2. Au gari yeyote yenye injini ndogo
ISIYO TUMIA MAFUTA MENGI NA SERVICE ZAKE ZA KAWAIDA

naomba utaratibu na vitu vya kuzingantia ili nisije KULIZWA
Na hela zenyewe za mawazo mawazo hizi.
ASANTENI
 
Unanunua wapi, Kwa mtu hapa hapa Tanzania, showroom au unaagiza Japan?

Budget yako maximum ngapi?

unakaa mkoa gani na matumizi yako ni yepi sana sana na kwa siku utakua unatumia kama Kilometa ngapi hivi?

Umeshawahi kua na gari? Au ndio la kwanza?
 
Nataka ninunue kwa mtu,
Matumizi yangu si zaidi ya 30km per day
Niko MWANZA MJINI
 
Back
Top Bottom