Nataka kununua Modem

Nataka kununua Modem

WAKUU Ni kampuni gan ya Simu Ina toa modem nzuri za internet kwa matumizi ya laptop ... na Ni kampun gan ambayo Ina limitless internet ...: mimi mpenzi wa online movies so naomba msada wenu
Kwanza uko mkoa gani bro.
 
4G ya mitandao mingine ni sawa sawa na 3G ya halotel , biliv me.
 
Back
Top Bottom