desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,794 Reaction score 6,082 Aug 20, 2026 #41 Isanga family said: Discovery za SA ukiipata ambayo ipo vizuri kutoka kwa kaburu uta enjoy maisha sema hapo home gari nyingi zilikuja kutoka UK na zilikua engine zishafika mwisho watu wakazivamia kwa Tsh 25m mpaka 30m ndio zimejaa garage sasa hivi ila kama una pesa chukua disco 4 ya kuanzia 2014 kuja juu na kipengele cha kodi itabidi uchukue ya 2016 au 2017 ambayo itakua ndani ya muda wa uchakavu.. Naleta sana hizo gari ila kwa watu walio serious..View attachment 3653024View attachment 3653025View attachment 3653025View attachment 3653026View attachment 3653027View attachment 3653029View attachment 3653031View attachment 3653030 Click to expand... Hiyo land Rover mpaka bongo bei gani
Isanga family said: Discovery za SA ukiipata ambayo ipo vizuri kutoka kwa kaburu uta enjoy maisha sema hapo home gari nyingi zilikuja kutoka UK na zilikua engine zishafika mwisho watu wakazivamia kwa Tsh 25m mpaka 30m ndio zimejaa garage sasa hivi ila kama una pesa chukua disco 4 ya kuanzia 2014 kuja juu na kipengele cha kodi itabidi uchukue ya 2016 au 2017 ambayo itakua ndani ya muda wa uchakavu.. Naleta sana hizo gari ila kwa watu walio serious..View attachment 3653024View attachment 3653025View attachment 3653025View attachment 3653026View attachment 3653027View attachment 3653029View attachment 3653031View attachment 3653030 Click to expand... Hiyo land Rover mpaka bongo bei gani
BrainOs JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 316 Reaction score 531 Aug 20, 2026 #42 Wanavhukulia Toyota poa,, hawajui bei za spea za GD6,, 1KD,,1VD mlima mrefu
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 15,609 Reaction score 39,392 Aug 20, 2026 #43 Nunua Discovery 4