Nataka kununua bajaji nitapata wapi na kwa bei gani?

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Wanajamii forums natafuta nami ninunue BAJAI lakini nasikia kuna mbaya ambazo hazidumu miezi kadhaa imekufa.
Je nitapata wapi mtaalamu anayejuwa kunisadia kujuwa ni aina gani ambayo haitanipa shida wapedwa wangu?
Nina waamini watu wa JAMIIFORUMS ni wema na wamesaidia watu wengi katika issues mbali mbali
NOMBA NISAIDIENI WANA NDUGU NIPATE KA BIASHARA
Asanteni
 
TVS king ni brand nzuri, ina muundo mzuri, inadumu na design yake kwa ujumla iko makini zaidi ya Bajaj.

Mwisho wa siku kwa barabara za bongo lazima uwe serious na service halafu ujue baada ya mwaka ujiandae to kuanza mchakato wa major repairs. Kila la heri, mimi nimeuza zangu maana nimechoka kufanya repairs kutwa kucha.
 
Back
Top Bottom