kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Wakuu kwa hizi gharama za bando nimefikiria ninunue kale ka wi-fi kadogo ka Airtel kwa aliyewahi kutumia naomba ushuhuda, je hakisumbui mtandaoni?
CHIEF MKWAWAWakuu kwa hizi gharama za bando nimefikiria ninunue kale ka wi-fi kadogo ka Airtel kwawa aliyewahi kutumia naomba ushuhuda, je hakisumbui mtandaoni?
Nikikonect laptop, GN 20 si zinaisha chap tu?kako frsh ila inategemea na eneo unaloishi
kauzwa 45k to 50k unapata GB 20 bure kwa mwezi
kurecharge vifurushi vyake ni kuanzia 10k unapata GB 10, 20k unapata GB 20 hakan unlimited and so...
hakaendi sana MB
tatizo lake kuu hakakai na charge alaf kakipata watumiaje zaidi ya watatu kachemka kam oven ila kako frsh kwa matumiz yako binafs au na dem wko mnasave sana
Bando hujaepuka sana panga la hizi mb za kukadiriwa za kila siku, manake kule ni elfu 10000,kwa Gb10 sasa bado ni kidogo sana hizo GB kikubwa saka tu unlimited kula maishaWakuu kwa hizi gharama za bando nimefikiria ninunue kale ka wi-fi kadogo ka Airtel kwa aliyewahi kutumia naomba ushuhuda, je hakisumbui mtandaoni?
Tatizo nipo peke yangu, sasa kuchukua unlimited naona gharamaBando hujaepuka sana panga la hizi mb za kukadiriwa za kila siku, manake kule ni elfu 10000,kwa Gb10 sasa bado ni kidogo sana hizo GB kikubwa saka tu unlimited kula maisha
Mimi nataka kukichukua niwe natumia mwenyewekako frsh ila inategemea na eneo unaloishi
kauzwa 45k to 50k unapata GB 20 bure kwa mwezi
kurecharge vifurushi vyake ni kuanzia 10k unapata GB 10, 20k unapata GB 20 hakan unlimited and so...
hakaendi sana MB
tatizo lake kuu hakakai na charge alaf kakipata watumiaje zaidi ya watatu kachemka kam oven ila kako frsh kwa matumiz yako binafs au na dem wko mnasave sana
WameshanijibuWakikujibu uniite
Wana JF wangapi😁😁Ni furaha kwa wanaJF sasa kuona husumbuliwi na mapenzi 😎
Vinginenevyo maumivu ya bando yapo palepale. Unanunua GB10 kwa elfu kumi aisee kuitumia siku tano wewe ni zaidi ya wale wabahili wa Taifa 😂Ungepata mtu mkashea ile ya 70k unlimited ndio inamake sense hizi za kupiwa jau sana.
Aisee bando linatembea aisee.Vinginenevyo maumivu ya bando yapo palepale. Unanunua GB10 kwa elfu kumi aisee kuitumia siku tano wewe ni zaidi ya wale wabahili wa Taifa 😂
Jamaa wamegundua bila bando hatutoboi hivyo wanatunyoosha yaani ile mkomoeni haswa.Aisee bando linatembea aisee.
Wengi ikiwemo mm hapaWana JF wangapi😁😁
Safi sanaaakako frsh ila inategemea na eneo unaloishi
kauzwa 45k to 50k unapata GB 20 bure kwa mwezi
kurecharge vifurushi vyake ni kuanzia 10k unapata GB 10, 20k unapata GB 20 hakan unlimited and so...
hakaendi sana MB
tatizo lake kuu hakakai na charge alaf kakipata watumiaje zaidi ya watatu kachemka kam oven ila kako frsh kwa matumiz yako binafs au na dem wko mnasave sana
Vinginenevyo maumivu ya bando yapo palepale. Unanunua GB10 kwa elfu kumi aisee kuitumia siku tano wewe ni zaidi ya wale wabahili wa Taifa![]()

ndio nipokete wifii ila kama unamatumizi makubwa ya bando ni vyema ukanunua cha halotel unlimited 50k per month unaunga tv smart, lqptop and so on. ila kabla hujanunua angalia eneo unaloishi halotel haisubui maan kuna baadhi ya maeneo miyayushoMimi nataka kukichukua niwe natumia mwenyewe