Nataka kumuoa ila ni mtata sana

Nataka kumuoa ila ni mtata sana

Labda anataka uwe kaka ake wa hiyari. Teh teh teh teh
Ngoja nkatoe uvunge now.
 
Kaa naye faragha uongee naye kiungwana ujue tatizo nini huwenda kakeketwa asipokueleza sababu za msingi piga chini maana bila game sasa mambo gani hayo.
 
Hapendi au alikupa ukamchosha nafsi yake? unajua saanyengine bora usamehe kuliko kufikishwa nusu njia,wakati ulipofanya nae alifurahia au ndio umemaliza wewe ukavaa Boxer nakumpa mgongo?
 
Huyo yupo sawa kabisa kutotaka papuchi yake iingiliwe kiholela, ila unachopaswa kufanya nenda nae taratibu wala ucmwendee pupa hata kama atakuwa analala 'kabati' la tinted we mchukulie poa maana anatafakari namna ya kuruhusu mjusi umwingilie ila cku mjusi ameingia tunduni atakuwa anataka hata chakulani aingiliwe na joka la mdimu.. uckate tamaa mvumilivu hula mbivu
Big Lion mbona unaondoa sifa ya big lion na kuwa "big wuss"
 
Mkuu hakuna kitu hapo, niliwahi kuwa na demu wa aina hiyo..kumla mate tu utata, game nikapata mara moja tena kwa kuforce na baadaye anadai eti ilikuwa mistake, hawezi nipa tena!! Sikuwa na namna zaidi ya kumuacha aende!!
 
Pole kwa yanayokukuta ila hlo n tatzo tafuta mbnu mbadala ambayo itakua tba. Cku hz kuna baadh ya watoto wa kike wana matatzo hyo. hata ukisema utumie nguvu hata weza kukufurahsha nlshawah kukutana na mtu wa namna hyo ilnchukua miaka mitatu kujaribu kumjenga kihisia.

baada ya kuongea na mwanasaikolojia flan. kwa zaid km utahtaj n pm. ntakusaidia. kwa bahat mbay kwa sasa cko nae alishatangulia mbele ya haki.
 
Labda kakeketwa,nasikia huwa wanahisi maumivu makali sana wakati wa game that's why hawapendi kupigwa miti.
 
mkuu hapa unataka ushauri gani.... ndo maana wakina dada wanatukebehi kweli!!! keshakwambia hapendi kut.....o....mb..wa...., wewe umeng'anga'nia wataka kuoa.....akili yako iko sawa.....muda wote huo stress wazipunguzia wapi?... we mwambie muda wangu wa kuoa umefika naomba nipishe noie......
 
Habari wana MMU.

Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwani najua huku wapo wakongwe wa mahusiano na mambo ya familia.
Mchumba wangu ana tabia moja ya ubishi.

Unaweza muomba game akakujibu mimi sipendi huo mchezo au nikitumia mbinu ya kumshawishi kwa matendo utaona yeye anarespondi negative mfano;akija geto analala na suruali.

Nimejaribu kumdadisi anadai hapendi hayo mambo ndio maana tangu sekondari hadi chuo hajawai kuwa na mwanaume.
Kwa sasa amemaliza chuo anataka kuolewa ila game hataki hata akiolewa ananitaarifu kuwa hapendi huo mchezo.



Ushauri nifanyaje

Kama anajifanya mtata kiasi hicho we mtatue kwa kumpiga chini......ooh no! subiri..siku akija geto muache alale then chomoka kabebe demu yoyote hata bar-maid uje umgegedee ndani akiuliza mwambie mambo ya kugegedana hayamuhusu yeye ni company tuu..na umwambie kabisa anaolewa lakini ajue there will always be a nyumba ndogo...I wish ungekuwa muislamu, things wud have been much easier.
 
Aseee! Jarb kumnunulia vtu vizuri vzur. Alaf atakuwa na stress ubongon au ameathirika kisaikolojia mdadis.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom