Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,900
😀😀😀😀😀😀Ama itakuwa mimi...ila hapana.
Kwa tabia zangu hiziiiiiiiii? Mtoa mada asingetamani nioa.[emoji1787][emoji1787]
😀😀😀😀😀😀Ama itakuwa mimi...ila hapana.
Kwa tabia zangu hiziiiiiiiii? Mtoa mada asingetamani nioa.[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hayo Mambo ya tabia mtarekebishana mbele ya safari!kikubwa kwanza muoaneAma itakuwa mimi...ila hapana.
Kwa tabia zangu hiziiiiiiiii? Mtoa mada asingetamani nioa.[emoji1787][emoji1787]
Karibu sana, nitakupokea kwa miguu na mikono 😀😀😀😀😀😀😀nabeba na begi langu naenda
😀😀😀😀 nunua uoneKaribu sana, nitakupokea kwa miguu na mikono 😀😀😀
Hapana,Hannah au nani? nisijekuwa kama yule wakukurupuka...[emoji87]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wanasema subira yavuta heri😀😀😀wakati ye ameshindwa ninunulia iphone 😀😀
Nikivuna mpunga nitakununulia😀😀😀😀 nunua uone
Sawa mkuuMoyo tu mkuu, umeacha kusukuma damu na kuanza kupenda penda
Kazi ndogo hiyo😀😀Itabidi uje shamba unisaidie kuvuna mpunga
Hebu acha uongo
Njoo kwa nauli yako, ukifika shamba utarudishiwaKazi ndogo hiyo😀😀
Namba ni ileile nitumie nauli chap nafika
Ukisikia marehemu amekufa mdogo ndio hivi achana na mali za watu wewe Equation xGily njooo uone
🤣🤣 matatizo gani hayo tenaJitafutieni matatizo tu!! Msiseme sijawaambia!
😀😀😀😀😀😀😀utajijuUkisikia marehemu amekufa mdogo ndio hivi achana na mali za watu wewe Equation x
Naijua hiyoNjoo kwa nauli yako, ukifika shamba utarudishiwa
Ukila mihogo utamridhishaje sasa 😀😃😄🤣Mwanaume kula mihogo, mpenzi wako apendeze 😀😀😀