tatizo ndiyo kujiamninisha tabia hubadilika .. mimi nasema nitaamini mlima utahama siyo tabia ya mtu aisee.... kama nikiona tabia siwezi ivumilia nasepa fasta wala sijuulizi kuja kufa nikiwa mdogo kisa likitu limelelewa au limejiweka hivyo nani anataka.....
huyu lazima kaoa umbo kudadeki analo
baada ya talaka oa tabia .. achana na kuangalia makalio makubwa nyonyo sijui mguuu .. tafuta mwanamke anayejielewa .. sahurilo utapiga talaka mpaka ukome
Umeona eeh..inaitwa kuoa 'head turners'...shurti nikitokea mbele za marafiki zangu watu waseme naam..bro kavuta kitu. Kumbe kiuhalisia kavutwa yeye...
Mh Asante kwa huu ushauri japo na yeye wakati wa uchumba hakua na tatizo la kum-disqualify, ila baada ya miezi kadhaa ndani ya nyumba akaota mapembe
Wapo sana wanawake wa hivi....na ushakutana na mama mkwe wa hivyo nae? Wakikutana wote wawili hawasomeki, anabaki mume kati hajielewi...
Huo utovu wa nidhamu baadhi (mwingi ) nimeuona mwenyewe
Mhusika nimemuuliza na kujibu kwa jeuri
Alienda kwetu kwasababu wazazi wake walikataa asiende kwao
Yeye mwenyewe hakupenda kwenda ukweni na hakukua na option nyingine.
Hakuna alishauri talaka isipokua ni maamuzi ninayotaka kuyafanya mwenyewe
nenda jukwaa la sheria...
nyie mnaosema hatuolewi wanaume wenyewe ndo hawa.??
mkwe ni km mzaziWapo sana wanawake wa hivi....na ushakutana na mama mkwe wa hivyo nae? Wakikutana wote wawili hawasomeki, anabaki mume kati hajielewi...
nenda kamchukue mkeo rafiki, huyo wako sio wa familia...Kulingana na eneo nnalo ishi, kituo kinachotoa huduma za afya hakihudumii akina mama wanao jifungua mtoto wa kwanza na watano na kuendelea, hivyo ikalazimu kupelekwa sehemu nyingine ambako mm nilipendekeza kwao kwa mama yake ambako ni mkoani, kuna hospitali kubwa....wazazi wake walikataa kwa hoja ya mila haziruhusu, ndipo nili poamua kumpeleka nyumbani kwetu ambako pia ni mkoani.
Think twice,,hivo vituko alivofanya uliviona ww au uliambiwa na nduguzo?,na km alifanya unajua au umegundua alifanya kwa nn,maana anaeza kuwa alikuwa anajibu mapigo,kaa nae muulize ujue shida ni nn,na km ni ndoa ya kidini usikurupuke kumuacha,mambo mengine humalizwa kwa kuongea,ila kwanza tujuze hvo visa uliviona mwenyewe?,maana wakati mwingine mama zetu na ndg zetu huwa syo ishu wngn ni washari sn kwa wake za waototo wao
Hahahaaaaaaa hata huyu wangu kuna siku aliniambia "usithubutu kuniacha utakiona cha mtema kuni" hahahahahaaaaa miss chaga big 5
We shindwa aliyeandika post ni mmoja why useme HAWA?
nenda jukwaa la sheria...
nyie mnaosema hatuolewi wanaume wenyewe ndo hawa.??
wanajijua hawawezi ishi na mtu kwa hiyo wanachokifanya ni kuwaganda walioingia mkingi kama wewe
Huo utovu wa nidhamu baadhi (mwingi ) nimeuona mwenyewe
Mhusika nimemuuliza na kujibu kwa jeuri
Alienda kwetu kwasababu wazazi wake walikataa asiende kwao
Yeye mwenyewe hakupenda kwenda ukweni na hakukua na option nyingine.
Hakuna alishauri talaka isipokua ni maamuzi ninayotaka kuyafanya mwenyewe