Pole sana mh mambo ya nyakatiHabari wakuu,
Naombeni kunisaidia njia ya kumuacha mwanamke unayempenda sana, yaani ukikaa dk 5 lazima umuwaze. Nahitaji kumuacha kwasababu zangu binafsi, ingawa ananipenda sana na mimi nampenda sana kutoka kwenye moyo wangu.
Cha kwanza amenizidi umri miaka 5, cha pili ana mtoto, cha tatu kashaachana na wanaume sita ambao mimi nimewashuhudia na bado sijui huko nyuma. Kwa jinsi ninavyompenda naelekea kuwa chizi kabisa, ameniteka ufahamu wangu na moyo ila nataka nimuache.
Je, nitumie mbinu gani?
Asanteni.
Kuachwa roho inauma ila kuacha roho haitaumaSubiri tu atakuacha mwenyewe uwe wa saba kuachwa.
Asante sanaPole sana mh mambo ya nyakati
Ulitaka kumuacha!Habari wakuu,
Naombeni kunisaidia njia ya kumuacha mwanamke unayempenda sana, yaani ukikaa dk 5 lazima umuwaze. Nahitaji kumuacha kwasababu zangu binafsi, ingawa ananipenda sana na mimi nampenda sana kutoka kwenye moyo wangu.
Cha kwanza amenizidi umri miaka 9, cha pili ana mtoto, cha tatu kashaachana na wanaume sita ambao mimi nimewashuhudia na bado sijui huko nyuma. Kwa jinsi ninavyompenda naelekea kuwa chizi kabisa, ameniteka ufahamu wangu na moyo ila nataka nimuache.
Je, nitumie mbinu gani?
Asanteni.
Amblock kwani ameeleza kuwa huyo mwanamke hapafahamu kwake?Block namba yake kama kweli hutaki mawasiliano naye.