Habari wakuu,
Naombeni kunisaidia njia ya kumuacha mwanamke unayempenda sana, yaani ukikaa dk 5 lazima umuwaze. Nahitaji kumuacha kwasababu zangu binafsi, ingawa ananipenda sana na mimi nampenda sana kutoka kwenye moyo wangu.
Cha kwanza amenizidi umri miaka 5, cha pili ana mtoto, cha tatu kashaachana na wanaume sita ambao mimi nimewashuhudia na bado sijui huko nyuma. Kwa jinsi ninavyompenda naelekea kuwa chizi kabisa, ameniteka ufahamu wangu na moyo ila nataka nimuache.
Je, nitumie mbinu gani?
Asanteni.
Liverpool VPN ROBERT HERIEL mje hapa kumshauri ndugu yenu
HakunaSingle maza kwani Wana tatizo gani??
Habari wakuu,
Naombeni kunisaidia njia ya kumuacha mwanamke unayempenda sana, yaani ukikaa dk 5 lazima umuwaze. Nahitaji kumuacha kwasababu zangu binafsi, ingawa ananipenda sana na mimi nampenda sana kutoka kwenye moyo wangu.
Cha kwanza amenizidi umri miaka 5, cha pili ana mtoto, cha tatu kashaachana na wanaume sita ambao mimi nimewashuhudia na bado sijui huko nyuma. Kwa jinsi ninavyompenda naelekea kuwa chizi kabisa, ameniteka ufahamu wangu na moyo ila nataka nimuache.
Je, nitumie mbinu gani?
Asanteni.
Hadi umefika umri huo unamapito mengi umepitia ikiwemo furaha na huzuni lakini ulipita salama.Tumia mbinu ulizotumia kupita huko.Mwanaume jasiri hashindwi kupotezea haya.Habari wakuu,
Naombeni kunisaidia njia ya kumuacha mwanamke unayempenda sana, yaani ukikaa dk 5 lazima umuwaze. Nahitaji kumuacha kwasababu zangu binafsi, ingawa ananipenda sana na mimi nampenda sana kutoka kwenye moyo wangu.
Cha kwanza amenizidi umri miaka 5, cha pili ana mtoto, cha tatu kashaachana na wanaume sita ambao mimi nimewashuhudia na bado sijui huko nyuma. Kwa jinsi ninavyompenda naelekea kuwa chizi kabisa, ameniteka ufahamu wangu na moyo ila nataka nimuache.
Je, nitumie mbinu gani?
Asanteni.
ndio utammiss na nn, hamna dawa kubwa ya vitu kama mda. jipe mda fata mambo yako mengine ulionayo, kma n biashara endelea kuishi.Habari wakuu,
Naombeni kunisaidia njia ya kumuacha mwanamke unayempenda sana, yaani ukikaa dk 5 lazima umuwaze. Nahitaji kumuacha kwasababu zangu binafsi, ingawa ananipenda sana na mimi nampenda sana kutoka kwenye moyo wangu.
Cha kwanza amenizidi umri miaka 5, cha pili ana mtoto, cha tatu kashaachana na wanaume sita ambao mimi nimewashuhudia na bado sijui huko nyuma. Kwa jinsi ninavyompenda naelekea kuwa chizi kabisa, ameniteka ufahamu wangu na moyo ila nataka nimuache.
Je, nitumie mbinu gani?
Asanteni.
Hutaki mapacha?🤣🤣🤣Yan wanawasimanga sana
Mm Niko njiani kuwa single maza Yan nimeamua tu natak mtoto 😂😂 mje mtoe povu
Hata wakiwa wanne 😂😂Hutaki mapacha?🤣🤣🤣
Na hutaki warefu?🤣Hata wakiwa wanne 😂😂
😂Watu wafupi wabishi sana Bora warefu😂😂Na hutaki warefu?🤣