Nataka kumshitaki Rose Mhando kwa utapeli

Nataka kumshitaki Rose Mhando kwa utapeli

mtoa mada ungeweka mikataba ulivyoandikishana sababu yeye alishalalamika kuwa watu wanaandaa matamasha wanatangaza rose atakuwepo wakati hana habari
 
Madeni yakizidi eti anatishia kurudi ktk uislamu!! Kana kwamba anataka kuimba taarabu
 
Mmmh hivi ukweli upo wapi? Mleta mada umeulizwa wakati mnafanya mawasiliano hayo mlishakutana physically?. Maana siku hizi hizi mitandao yote haina usalama, huenda kunamtu aliihark akaunti zake na ndo mnawasiliana nae (tapeli) na huyo real Rose asijue kinachoendelea. Na pia hizi tuhuma za waimba injili eti kabla ya tamasha nyuma ya jukwaa huwa wanatoa stim kwa ganja au madawa kuna ukweli upi? Maana kwa wazee wa bongofleva hilo halina ubishi cause mmoja alishikwa nayo Airport JKN akienda Mbeya na alisema ni kutolea stimu za kupandia jukwaani
 
Kafie mbele wewe, unamtia woga mwenzako kwanini? na wewe sio mwanasheria wala nini, NI TAPELI MWINGINE TU.
i am sorry to say wewe ndiye utakaye kufa, mimi sitakufa. umeiangalia hii kama namtishia, lakini kama ungekuw ana akili ungejua kuwa nilikuwa namshauri. tatizo ni kwamba tumetofautiana akili ndio maana haujawa mwanasheria. bye.
 
Ni kweli ni ndogo cha muhimu ni makubaliano.. Angekuwa anakataa sio tatizo ni ndogo lakini pia hupatikana kwa taabu.
Always cheap is expensive sijui kwanini watu huwa hawaelewi. Kuna mtu hapo juu kagofoka sana hapo juu lakini ni uelewa mdogo . Brother fikilia kidogo umempa 2 million. Aje mwenyewe, madansa wake, usafiri na mambo mengine yanayotakiwa, watu wote wapendeze kwa shughuli yako kwa 2m tu? Impossible . Kuna siku mdogo wangu alikuwa anaoa sasa watoa huduma wakapledge kati ya hao akawapo Mc na mziki akadai he can do the job kwa 450000/= kila mtu akamkubali mimi tu ndiye niliyemkata for simple reason hiyo hela aliyodai haita mtosheleza kwanza vyombo mziki, usafiri, hatakuwapeke yake lazima aje na mmoja au wawili then apate faida. Nilisema mtu Huyu mkimpa pesa haji na hata akija mziki wake utakuwa pfyongo
. Nikasistiza akapigwa chini, tukachukua wa milioni1ambaye tulimbembeleza sana a shushe kwani al itaka 1.4 m. Yule niliyemkata alienda kwenye sherehe nyingine it was a disaster mziki ovyo harusi ikawa mbovu. Guys always cheap is expensive
 
Mmmh hivi ukweli upo wapi? Mleta mada umeulizwa wakati mnafanya mawasiliano hayo mlishakutana physically?. Maana siku hizi hizi mitandao yote haina usalama, huenda kunamtu aliihark akaunti zake na ndo mnawasiliana nae (tapeli) na huyo real Rose asijue kinachoendelea. Na pia hizi tuhuma za waimba injili eti kabla ya tamasha nyuma ya jukwaa huwa wanatoa stim kwa ganja au madawa kuna ukweli upi? Maana kwa wazee wa bongofleva hilo halina ubishi cause mmoja alishikwa nayo Airport JKN akienda Mbeya na alisema ni kutolea stimu za kupandia jukwaani

Mkuu nimeonana nae so mara moja! Nimeonana nae zaidi ya mara nyingi.! Nina namba yake ya simu ya mkononi, Nina namba yake ya akaunti ya benki nimempa pesa mkononi akiwa na shahidi, na maelezo ya ziada juu ya Yale yasemwayo juu yake! Lakini kama haitoshi amekuwa akihitaji nimtumie pesa kwa matatizo kadhaa. Kilichofanya nilete huu Uzi hapa ni baada ya kuona sasa! Inakuwa nje ya uwezo wangu kiushauri na hiyo Huduma yake, coz ni kweli ana umaarufu Ndani na nje ya nchi yetu. Je nikichukua hatua za kisheria! Madhara yake ni nini ? Au faida yake! Ninatamani sana kupata haki yangu lakini pia Nina mtazamo Wa pili kwa upande wake.
 
Kwa reply hiyo hapo juu "wapendwa" nadhani watakuwa wamenielewa namaanisha nini.
 
Hizi pesa anazochukuwa mara nyingi huwa ni advance akitarajia kumaliziwa nyingine baada ya kazi.
 
Nimeonja utamu wa pesaa eheee
utamu nimeonja utamu wa pesa weee
......
BTw ata wewe siulikua unataka kupata pesa zaidi kupitia kwake....apo mmezidiana akili tu...
 
i am sorry to say wewe ndiye utakaye kufa, mimi sitakufa. umeiangalia hii kama namtishia, lakini kama ungekuw ana akili ungejua kuwa nilikuwa namshauri. tatizo ni kwamba tumetofautiana akili ndio maana haujawa mwanasheria. bye.

unawahi kuaga kwenda wapi...kupumuliwa kisogoni au?
 
Ninataka kumshtaki Rose mhando kwa utapeli. Tafadhari naomba wabobezi Wa kisheria hapa Ndani. Mara ya kwanza niliandaa tukio tanga hakutokea sbb alipata ajali, nilimlipa nikasamehe. Mara ya pili niliandaa tamasha Morogoro.. Nikamlipa hakutokea kwa maelezo aliyojieleza.. Mara ya tatu nimeandaa tamasha Tanga hajatokea tena mara hii nikiwa nimeandikishana nae. Kilichoniuma zaidi ni pale aliponidanganya kwa kutaka pesa zaidi na kuniambia yuko njiani anakuja nimtumie pesa ya mafuta ya Gari.. Kumbe hata wazo la kuja Kwenye tamasha. Hana mpaka sasa ameshakula zaidi ya milioni nne kwa style. Tofauti je naweza fungua kesi mahakamani. Naomba msaada. Sasa hivi nilimpigia simu hapokei..

Nawe Unanini Na Rose Mhando? Waimbaji Wapo Wengi Kulikoni Umg'ang'anie Rose Mhando?
 
Fedha zenyewe Wanalipa ndogo million moja, mbili . Rose ni mwanamziki mkubwa watampaje fedha kidogo kiasi hicho?
Mkubwa kwako wewe na familia ila sie wengine tunamuona kama mpiga chaanga kwenye disko vumbi.Kweli kila mtu anamtazamo wake.
 
Huyo ameshakuwa Muongo aliyekubuhu, pole aseee.
 
Mkubwa kwako wewe na familia ila sie wengine tunamuona kama mpiga chaanga kwenye disko vumbi.Kweli kila mtu anamtazamo wake.

Familia yangu imeingiaje hapo? Nadhani wazazi wako walipofanya tendo la uumbaji wako walikutana vichakani wakiwa walevi wa gongo. Ndo maana huna akiri
 
Ninataka kumshtaki Rose Mhando kwa utapeli. Tafadhali naomba wabobezi wa kisheria hapa ndani.

Mara ya kwanza niliandaa tukio Tanga hakutokea sababu alipata ajali, nilimlipa nikasamehe.

Mara ya pili niliandaa tamasha Morogoro.. Nikamlipa hakutokea kwa maelezo aliyojieleza..

Mara ya tatu nimeandaa tamasha Tanga hajatokea tena mara hii nikiwa nimeandikishana nae. Kilichoniuma zaidi ni pale aliponidanganya kwa kutaka pesa zaidi na kuniambia yuko njiani anakuja nimtumie pesa ya mafuta ya Gari.. Kumbe hata wazo la kuja Kwenye tamasha hana mpaka sasa ameshakula zaidi ya milioni nne kwa style tofauti.

Je, naweza fungua kesi mahakamani?

Naomba msaada. Sasa hivi nilimpigia simu hapokei..

Nyimbo za injili ni mahubili hayapaswi kulipiwa ni sawa na kumwalika mhubili na kumlipa hivyo wewe naye ulitaka kutengeneza pesa zisizo halali kwa kuwatoza pesa watu kuja kusikiliza neno hivyo njia mbovu uishia ubovu pole tamasha lolote tafuta mhubili mwenye uchungu na Kondoo kuliko waimbaji ambao waimbia wasicho fanya wenyewe
 
Ndugu semzei inawezekana unanifahamu vizuri kuwa sina pesa. Ila hiyo kidogo niloyotoa na namna nilivyoipata ndio inayonihangaisha kuona inapotea katika mazingira ambayo sikuyakusudia na kama nilivyosema hapo awali sio mara moja. Mimi ni miongoni mwa watu waliokuwa wakimtetea sana Rose. Na nafikiri miongoni mwa watu waliokuwa nae karibu sana mpaka nafikia hatua hii sio jambo ambalo nimekurupuka. Nimekuwa mstahimilivu sana.

Wewe unadai umekua karibu sana naye kiasi cha kumtetea kwa (dhuluma) aliyowafanyia watu wengine wengi? Lakini bado amekutapeli mara ya kwanza, mara ya pili na mara ya tatu, una akili timamu au mmepeana (kimapenzi) tu? Kwanini pesa uliyotoa mara ya kwanza usimdai hata akufidie kwa onesho la pili? Jibu hoja hizo na kama mliandikishiana nenda mahakamani utapata unachostahili. Hili la kipaji (siingilii) amepewa na Mungu ainyesheaye nchi mvua ndege wakarukaruka kwa furaha na nyoka wakafa kwa maji.
 
Back
Top Bottom