Thanx a lot mkuu kwa hiyo unashauri akifika la tano nimrushe aende la sita?Umrushee? Akiumia?
Jus kiddin,
Hiyo inategemea na kichwa cha mtoto,
Unaweza kumrusha mtoti kutola la 4 labda mpaka la 6,au asimalize la 4 ukampeleka la 5 , ila hyo ya la 4 kwenda form 1, utampoteza kijana, kuna vitu ving muhimu vipo la 7 hatavijua, sikushaur kufanya ivo
At least hyo anaweza akasom la tano kidogo aalf ukamrusha la sits mwaak huo huo, hapo afadhal maanakwa ufahamu wangu mimi ni kwamba la saba ndio hujenga msingi wa form 1, nakushaur lazima asome la 7Thanx a lot mkuu kwa hiyo unashauri akifika la tano nimrushe aende la sita?
Mimi ni tofauti kidogo na mwanao ,mimi nilipofika la Sita shule iliniombea kibali cha kufanya mtihani wa la Saba maana nilikuwa nipo vizuri sana kwenye masomo na nilikuwa shule ya msingi za kayumba sio kama ya mwanao,lakini nilifanya mtihani wa la Saba nikafaulu nikaenda form one nikakaza msuri tena nilipofika form three nikaomba mtihani wa form four pia nao nikafaulu baada ya hapo nikaendelea kama kawaida mpaka chuo lakini dalasa la saba na form four sijasoma, ili mambo haya yote yanawezekana ikiwa ataombewa kibali kutokana na uwezo wake.Habari wakuu,
Naombeni ushauri wenu.
Binti yangu ana miaka miaka Tisa yupo darasa la nne kwenye shule ya english media. Nafanya vizuri sana darasani, nataka mwakani baada ya matokeo ya darasa la nne nimpeleke kidato cha kwanza.
Wajuzi wa mambo mnaonaje hilo wazo langu?
Nini faida zake na hasara zake?
Kuna MTU amewahi kufanya hivyo?
With much thanx in advance
mrushe tu kama vip anavovisoma primary sio ni tofauti kabisa na secondary kwaiyo hakuna msingi wowote unaweza kumsaidia akiwa secondary kikubwa ajue lugha ata somo la kiswahili linalofundishwa primary na secondary ni vitu viwili tofauti hakuna msingi wowote kwamba mtoto inabidi apitie kwanza primaryHabari wakuu,
Naombeni ushauri wenu.
Binti yangu ana miaka miaka Tisa yupo darasa la nne kwenye shule ya english media. Nafanya vizuri sana darasani, nataka mwakani baada ya matokeo ya darasa la nne nimpeleke kidato cha kwanza.
Wajuzi wa mambo mnaonaje hilo wazo langu?
Nini faida zake na hasara zake?
Kuna MTU amewahi kufanya hivyo?
With much thanx in advance
Mkuu kwa 2 akisoma kwa muhula 1 kisha aende 3 imekaaje hiyo.Kuna madarasa ni ya muhimu kuyasoma..
Darasa la 2,4,6&7 ni ya muhimu.
Ungeanza kumrusha toka yupo mdogo.
Ila kumtoa la 4 hadi form one sio sawa kabisa. Utamuumiza mtoto.
Kama ni hivyo mpeleke darasa la 6 nusu mwaka then amalizie la 7 mwaka huohuo.
Mm nakushauri mpeleke asome la sita baada ya hapo umpeleke akafanye interview ya form 1 akafaulu aendelee sekondari tuuHabari wakuu,
Naombeni ushauri wenu.
Binti yangu ana miaka miaka Tisa yupo darasa la nne kwenye shule ya english media. Nafanya vizuri sana darasani, nataka mwakani baada ya matokeo ya darasa la nne nimpeleke kidato cha kwanza.
Wajuzi wa mambo mnaonaje hilo wazo langu?
Nini faida zake na hasara zake?
Kuna MTU amewahi kufanya hivyo?
With much thanx in advance
AISEEE HAKUNA TOFAUTI NA MIMI NA MIMI ILIKUWA HIVYOHIVYOMimi ni tofauti kidogo na mwanao ,mimi nilipofika la Sita shule iliniombea kibali cha kufanya mtihani wa la Saba maana nilikuwa nipo vizuri sana kwenye masomo na nilikuwa shule ya msingi za kayumba sio kama ya mwanao,lakini nilifanya mtihani wa la Saba nikafaulu nikaenda form one nikakaza msuri tena nilipofika form three nikaomba mtihani wa form four pia nao nikafaulu baada ya hapo nikaendelea kama kawaida mpaka chuo lakini dalasa la saba na form four sijasoma, ili mambo haya yote yanawezekana ikiwa ataombewa kibali kutokana na uwezo wake.
mimi sikusoma darasa la saba tu lakini form four nilisoma, na nilikuwa na uwezo wa kufanya mtihani wa darasa la saba hasa hesabu nikiwa darasa la nneMimi ni tofauti kidogo na mwanao ,mimi nilipofika la Sita shule iliniombea kibali cha kufanya mtihani wa la Saba maana nilikuwa nipo vizuri sana kwenye masomo na nilikuwa shule ya msingi za kayumba sio kama ya mwanao,lakini nilifanya mtihani wa la Saba nikafaulu nikaenda form one nikakaza msuri tena nilipofika form three nikaomba mtihani wa form four pia nao nikafaulu baada ya hapo nikaendelea kama kawaida mpaka chuo lakini dalasa la saba na form four sijasoma, ili mambo haya yote yanawezekana ikiwa ataombewa kibali kutokana na uwezo wake.