Nataka kumlipua bosi wangu sasa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kumlipua bosi wangu sasa hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndebile, Nov 9, 2011.

 1. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Jana niliona uzi mmoja hapa jf ukiwa na namba ambazo wachangiaji walisema ni za Kikwete,nimeutafuta siuoni tena(natumia mobile ya mchina) namba hizo zilikuwa na 777....msaada jamani kuna jafisadi kadogo ambako nadhani baba Riz atakaweza tu!
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Bofya hii hapa mwanawane, +255 754 777775
   
 3. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  asante Mtambunzi,
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Ndebile,angalia usijelipuliwa wewe ndugu yangu.hawa mafisadi waliopo unahisi jk kawashindwa?
   
 5. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,964
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Umekosa kazi ya kufanya? Kesi ya ngedere kula mahindi unaipeleka kwa nyani ndo awe hakimu? Fisadi unampelekea kesi ya fisadi mwenzie? Are u kidding me? Afadhali ungemlipulia hapa JF kuliko kuipeleka kwa JK.
   
 6. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Ongea na mshua
   
 7. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kesi ya mbuzi unaipeleka kwa fisi? huogopi kuliwa wewe?
   
 8. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  tena bosi mwenyewe ni mwenye wadhifa wa kuteuliwa na rais...tuseme najitoa mhanga tu. Haiwezekani kabisa yaani mwaka wa tatu sasa huyu bosi kakaa tu....
   
 9. R

  Renegade JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  We ongea na riz 1, aongee na mshua we...we.
   
 10. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Take care, kwa maajabu ya hii nchi yetu tegemea lolote. Hivi una hakika gani anayoyafanya hayapo kwenye majukumu yake ya kazi? Au umesahau tulivyoambiwa kuwa ni utaratibu wa kawaida kwa waziri kukusanya fedha za kuhonga wabunge kupitisha bajeti?

  We shauri yako, tena mtu mwenyewe unasema ni wale 'wanaowekwa kwa mapenzi yake' na baraka za katiba yetu tukufu inayotambua wezi wasio na hatia! Haya we!
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mlipue hapa na huko piga piga simu bila kuweka wazi identity yako
  wataanzania tuache woga hata kwa jambo kama hili
  mnadhulumiwa mnalia lia tu chuku hatua.ukombozihauji kwa woga.libya,tunisia wangekuwa waogoa wangefika walipo?
  mm ntakuwa kimbele front tukianza kudai ukombozi
   
 12. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  riz ana kiburi siku zote katumwa aongee na mshua hajaleta jibu kama kaongea nae au vp!
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Riz1 kwa sasa hagusiki,ngoja niisave hii namba nimpigie mkulu
   
 14. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Akiambiwa anasikia!
   
 15. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  BUsu la kik......re
   
 16. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  Ndebile? ni ndebile huyu huyu wa bodi ya mikopo???? ama??
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  na hapa pia 0754 777777
  ongea na mshua,
  mwambie huku kitaa kinanuka.
   
Loading...