Nataka kumiliki website yangu, mafundi nipeni somo!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kumiliki website yangu, mafundi nipeni somo!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mansakankanmusa, Mar 30, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Wengine mtasema niende course, nasema hapana, nataka nijue kujiunga na hawo watoa .com, au .tz n.k siasa jamani hapana
   
 2. d

  dav22 JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  unaweza ni PM mi nafanya web design and development au nicall kwa hii namba tuongee 0718 104893/ 0756 008607
   
 3. SamJet

  SamJet Senior Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 165
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jaribu kuwasiliana na epolina , hawa mabwana walinitengenezea student managment script yenye parents database ambayo wazazi wanaona matokeo kwenye internet wajaribu
   
 4. N

  Nyasiro Verified User

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mimi mwenyewe nilipata shida kama yako lakini sasa hivi ninamiliki .com hii kwa kama dola 8 (TZS 12,000/=) hivi kwa mwaka. Nilifuatilia kampuni nyingi za Tanzania nikakuta zinabei kubwa sana nyingi zinaanzia TZS 45,000/= kwa mwaka! jaribu kulinganisha na hiyo ya kwanza uone tofauti. Ukishapata domain name yako fikiria kuhusu hosting, hapa napo nilifanya ulinganisho wa bei za Tanzania na nje ya nchi nikakuta hazipishani sana lakini sikufa moyo nilitafuta FREE HOSTING nikapata nyingi nikachagua ninazopenda na nikahost website yangu bila gharama yoyote.

  KWA KIFUPI

  Jumla nimetumia/nalipia: TZS 12,000/= kwa Mwaka!!!!

  Tuwasiliane kwa maelezo zaidi.
   
 5. m

  majogajo JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hapo safi hata cc wanyonge ttakuwa na web zetu.
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa ajili ya assignment au matumizi ya shule kweli..
   
 7. xhuma

  xhuma Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 22, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @mtemvu,nafikiri umepata msaada na ninaomba niongeze angalizo kidogo kwenye ushauri wa free hosting. Zipo nyingi nzuri na mbaya, inategemea na website gani unataka kuwa nayo, mfano kuna free hosting ambazo hawakupi database, kuna zingine wanaweka banner ya matangazo chini ama juu ya website yako pia Unaweza kukosa baadhi ya services kama emails, one click apps, ftp na zingine kibao na kikubwa ni support pia endapo web yako itakuwa na shida. Ningeshauri kama unataka kuhost sensitive website ufanye tu kulipia. PM kama ungetaka msaada zaidi.
   
 8. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280

  umenipa somo maridhawa, bila 1 click haina maana, kubaniwa baniwa mambo si sija..kiukweli ni kijamii na kibiashara huko baadae ikibidi, na wa PM wajameni ASANTENI SANA
   
 9. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,451
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Nitaweza kukusaidia na ukapata kila kitu buree...
  Nyasiro analipia domain name tu. Kama utapenda visit Rahamix na ujionee (hii ni yangu).

  Ni pm nikupe msaada full
   
Loading...