Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

Upumbavu wenu ndio huwaponza, kwenye mapenzi mshahara umekujaje? Mjinga kabisa, ndio maana unachezewa unabwagwa nyambafuuu!!!!!!!!!! Its not about money, Its not about education, Its not about Job or tittle, Its not about whatever thing on earth!!!!!! So love is about what???? If ur not blave u cant understand.
 
Net pay ya 600,000 mbona hela ndogo sana kwa maisha ya sasa. Yaani hiyo ndio umtunze mwanaume?? Mle, mvae, na gharama nyingine za maisha!! Utaumia bure ndugu yangu
 
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

pole sana dada naona ili tatizo la mapenzi kuacha na kuachwa limekuwa janga kama kansa vile hivi mnaonaje na hili kama tukiliingiza kwenye katiba mpya eeeh?
 
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

0752475899
 
me kama wewe utanipa wasiwasi tu harafu hera yako ndogo sana kummiliki mtu kwa mshahara wako huwo bora uwende ukawaisaidie yatima kuliko kutafuta mwanaume,
 
@arusha,baba mngoni, mama mchagga.

Wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni america naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: Ikiwa ntaachika ntatafuta man asiyemsomi,not handsome, mwenye robo ya kipato changu,aliyevusha umri wa kuoa, ethnical man

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini arusha awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
maria usijali kabisa kama unamaanisha ,omba mungu sana na anajibu maombia yako futa mawazo yako hayo ss mgeukie muumba chozi lako la uchungu atalifuta,nisikufiche nishawahi kuumizwa sana tena na kunyanyasika sana na mapenzi lkn siku niliposema mungu wangu inatosha,nijaze raha nipe mwanaume toka kwako ,nmejibiwa mwaka jana,mwezi wa 8,kijana ananipenda ajabu ,nimemkuta bikira,anajua kucare,ananipa upendo sana ,zaidi machungu yangu nmesahau,ss anakuja jmos kutoa mahali,kila lakher
 
Umemkuta bikra? Kijana?
 
Chunguza vizuri utakuwa unaolewa na shoga! Km kweli ni mwanaume rijali na ana sifa ulizotaja,tegemea maumivu zaidi!
 
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Unahitaji sara ya TOBA. Vinginevyo unaelekea kuwa mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom