Nataka kula bata na dada evelyne salt na madame b

Nataka kula bata na dada evelyne salt na madame b

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
584
hey madame b na evelyne salt nataka kula na nyie bata kipindi hiki cha eid(iddi) , chagueni kiwanjaa cha kula na nyie bataa ntawakabidhi ATM CARD na password teh teh
 
hey madame b na evelyne salt nataka kula na nyie bata kipindi hiki cha eid(iddi) , chagueni kiwanjaa cha kula na nyie bataa ntawakabidhi ATM CARD na password teh teh

Bata za aina gani hizo???
Madame B eid utakuwa free au unavuka maji???????
 
Last edited by a moderator:

Mwambie asikimbie tu........
images
 
Hahaaaa..... shost Evelyn Salt ntakushika kipyedo tutoke wote!!! Miss u mingi mdada.....
 
Last edited by a moderator:
MPIGA.....MSULI...........jina huumba ujue.
 
Ngoja niongee na papaa alietoa ofa nione kama ntakuja
make kukabidhiwa atm card si mchezo naweza kwenda dubai na Madame B kula eid!!!!!

dada salt kumbuka hamna cha buree ,something for something teh teh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom