Nataka kujua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kujua.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by SAMRASI, Jul 31, 2011.

 1. S

  SAMRASI New Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama mtu akitukana/akinitukana na nikimpeleka mahakamani......kifungo chake ni miaka mingapi au faini yake nish.ngapi?
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kifungo miezi sita au faini isiyozidi 50000 au vyote kwa pamoja. Muda wakesi si chini ya miezi sita kabla ya hukumu.
   
 3. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia akupige
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  athante sana.
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,402
  Likes Received: 3,728
  Trophy Points: 280
  Vipi.... umetukana mtu nini...!!
   
 6. S

  SAMRASI New Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 7. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  @SAMRASi hiyo ni kazi ya mahakama kuamua kumtoza faini au kifungo au vyote kwa pamoja lakini pia mwenendo mzima wa kesi huangaliwa
   
 8. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pia ukumbuke pia adhabu haiji tu hivi hivi lazima uthibitishe kwamba maneno aliyoyatoa ni matusi kwa jamii inayokuzunguka pia yalitolewa kimaandishia au kimatamshi nani alisikia nk...?
   
Loading...