Nataka kujua uthibitibisho wa waganga kwa mtu mlemavu kwaajili ya Bodi ya Mikopo

Mussa jr

Member
Oct 3, 2017
6
0
Naomba kujua wakubwa, kama baba yako mlemavu kwenye muongozo wa HESLB wameandika wanaoruhusiwa kuthibitisha ni Mganga Mkuu wa Mkoa na Wilaya au chombo kingine chochote kilichohidhinishwa kuthibitisha ina maana hata Mganga wa Hospital ya Kata wa Serikal anaruhusiwa au mganga mwingine labda wa Wilayani kwenye Hospital za Serikali
 
Wewe unataka uende wapi?
 
Nikathibitishe kwa daktari wa kituo cha afy cha Kata man wilayan complicated san na mda wa application unaenda
 
Ni vyema, ungeenda wilayani ndio vizuri. Ila kama ni mbali sawa.
Ila haichukui muda, inaweza ikawa one week.
 
Nikathibitishe kwa daktari wa kituo cha afy cha Kata man wilayan complicated san na mda wa application unaenda
Nenda Kata halafu ukikosa mkopo urudi hapa kuilaumu board Kumbe ni Upuuzi wako.
Hospital za Wilaya Zimejaa kibao,hujaenda ukakutana na complications Zozote ila Umeanza kujisemea tu ni complicated.
 
Saw mkuu nimekuelewa
 
Back
Top Bottom