Nataka kujua uhalali wa Kalynda E- commerce

Bless21

Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
71
Reaction score
92
Guys kuna hiii kampuni ya e commerce inaitwa kalynda E-commerce hivi hiii kampuni ni halali au ndio kama wale wazee wa Good morning

Maana naona ITV na redio nyingi tu wanaipa airtime sana hua siziamin sana hizi online issues lakin

Piaaa naomba mmoja anisaidie kuangalia huko Brela kama imesajiliwa kweli

View attachment 2353523
IMG-20220907-WA0058.jpg
 
Jamani hebu tuache upuuzi hata kidogo, kama kuna vijana msiofika kesho basi kaeni kwa kutulia.

Kuna huyo mmoja hapo juu analazimisha tujiunge WHY?

Eleza nia na makusudi ya hiyo sijui kampuni yenu, yaani wanataka watanzania wajiunge kwa elfu20 ila napataje faida na inakuwaje pasi kusahau kunishadihisha utendaji wa kampuni yenu mpaka mnapata faida mnayotugawia.

Deci, kina global na nduguze woote walikuja kwa njia tofauti na nyie ila mwisho wake huwa ni mantanange!.
 
kuna jamaa yangu katumia nguvu nyingi sana kunielewesha ila nmetoka mtupu,kuwa makini hawakutangazwa itv but kuna tangazo utatumiwa na wahusika kuonyesha kuwa ni itv
Mimi mwenyewe nilifikiri wame edit sio Itv Lakini jana naangalia ITV naona kipindi kile cha michezo segment ya habar wanawatangaza hawa mabwana na redio nyingi sana zinawatangaza
 
Jamani hebu tuache upuuzi hata kidogo, kama kuna vijana msiofika kesho basi kaeni kwa kutulia.

Kuna huyo mmoja hapo juu analazimisha tujiunge WHY?

Eleza nia na makusudi ya hiyo sijui kampuni yenu, yaani wanataka watanzania wajiunge kwa elfu20 ila napataje faida na inakuwaje pasi kusahau kunishadihisha utendaji wa kampuni yenu mpaka mnapata faida mnayotugawia.

Deci, kina global na nduguze woote walikuja kwa njia tofauti na nyie ila mwisho wake huwa ni mantanange!.
Mimi mwenyewe najiuliza hawa mabwana wanafanya biashara gan wanatoa faidia kubwa hivii
 
Mimi mwenyewe nilifikiri wame edit sio Itv Lakini jana naangalia ITV naona kipindi kile cha michezo segment ya habar wanawatangaza hawa mabwana na redio nyingi sana zinawatangaza
Ukiona tena record kisha video tuma huku km ni kweli wengine kuangalia Tv ni nadra sana

Mimi hawa Jamaa niliposhtuka kuna mmoja nilimfuata PM nikamdadisi inakuaje mara kuangalia angalia kuna mwingine akapost kwamba kaweka 20,000/- ndani ya siku 19 kavuna 100,000/- nikashtuka akasema tena ukifika mwisho wa mwezi anavuna tena 100,000/- na hapo Account yake kapost inasoma 184,738/- macho yakanitoka

Jamaa PM akajibu akanipa na mkeka kwamba kwa mwezi siku 31 ukiweka 20,000/- unavuna 68,740/- hio ndio pesa kila siku unapewa 800

Nikamuuliza mboni kuna Jamaa siku 19 tu kasema amepata 100,000/-na Account yake bado imenona inakuaje?

Weee Jamaa akaanza kunizungusha zungusha mara hivi mara vile kimepanda kimeshuka nikajua tu Biashara yoyote ambayo haina uwazi mtu anaficha ficha (mwizi) jua wewe ndio unafanywa chambo unaenda kupigwa mwingiiii

Umeelewa hapo kipi ni kipi?
 
wengi wanaweza kukuelezea hata saa nzima lakini anachokuelezea usikielewe kabisa
 
Hahahaha wana zinguaa
 
Inawezekana aliyepata faida zaidi aliweka zaidi ya hiyo elfu 20
 
Back
Top Bottom