Nataka kujua kuhusu wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera



Kwa kuwa hutaki kujisomea kupitia Google, basi nilipe kwanza ndipo nikutajie sifa za Ngara...kuanzia katerero, wake za watu, uzuri wa mademu wa Kiangaza, kilimo, ulaji senene....nk. Dau langu ni shilling milioni moja tu.
 
Mbona wenzako tumeoa huku
 
Ngara hamunakaterero acha uongo,hayo ya bkoba kaka


Kuanzia Karagwe, Muleba, BK vijijini, Missenyi, Biharamulo, Ngara, huku kote mze Katerero anajulikana na anatamba sana. Mkuu usipende kubisha tu....watu tumetembea jamani. Anyways, njoo JF ujifunze mengi upate kuelimika.
 
Rulenge ndio home,Niko mtaa WA Murutambikwa,ila kwa sasa Niko mikoani
 
Rulenge ndio home,Niko mtaa WA Murutambikwa,ila kwa sasa Niko mikoani
Nimeishi Rulenge takribani miaka 4, mwaka 2008 mwezi wa 11 ndo niliondoka, nilikua naishi mtaa wa majengo baadae Muyenzi. Vijiji vingi vya huko navifahamu. Maisha ya huko ni ya raha na amani ukipazoea, sehemu zingine nilizobahatika kuishi ni Benako, Ngara na Mugoma.
 
Kuanzia Karagwe, Muleba, BK vijijini, Missenyi, Biharamulo, Ngara, huku kote mze Katerero anajulikana na anatamba sana. Mkuu usipende kubisha tu....watu tumetembea jamani. Anyways, njoo JF ujifunze mengi upate kuelimika.
Ukitembea ukataka kugegeda utapata michangu na Sifa kuu ya uchangu ni kujifunza staili kama katerero
 
Baada ya kuzunguka huku na kule ndani ya mkoa wa Kagera, hatimaye nimefika Ngara wadau. Hali ya hewa ya hapa ndiyo balaa. Jua linawaka kidogo sana, mvua inanyesha muda mrefu sana na baridi ni kali kwelikweli. Wadau mlioko huku nipeni ramani za ujenzi wa taifa ili nami niuanze mwaka 2023 vizuri.
 
Karibu sana Benaco.
Ukitaka malazi tulivu uliza Maisha Lodge.
Ipo mtaa wa Karagwe.
 
Shukran sana mkuu, hapo Benako nilikuepo juzi nikaenda hadi Rusvmo kisha nikaja Ngara mjini. Vipi, naweza pata kazi yoyote huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…