Nataka kujua jinsi ya kujiunga na chuo cha NIT na vigezo vya kusoma uhudumu wa ndege

mwanaiba aroni

New Member
Jan 30, 2019
2
0
Wakuu habari zenu,

Nataka kujua jinsi ya kujiunga na chuo cha NIT na vigezo vyake kwa kozi ya uhudumu wa ndege.

Natanguliza shukrani
 
Ukipata kujua taratibu za kujiunga naomba unijuze nijue gharama za kujiunga kitengo cha uhudumu wa ndege
 
Back
Top Bottom