labda ipo postpaid ya wanafunzi wanaweza mwonea huruma!! post paid hakuna bundle kule mkuu....student bundle haikutoshi mkuu...
sio rahisi sana, ni corporate levels tu . not student level... hata individual level watakuwa wachache... labda mengi .... (jokin)
utaweka nini kama security....lazima kuwe na security i think sababu watu wangekuwa wanajiunga baada ya mwezi nasepa!! hutafanikiwa kijana unless uwe mtoto wa bakhressa .
Mie mkuu chief mkwawa nimeipenda tu hii kitu mambo ya kukwangua vocha kila cku yashanichocha mie hata hvyo naweza nikajiunga na nikaongea na mtu mmoja na kifurushi kinaisha pacpo kutumiwa,,hata hvyo mie co mtumizi sanaaa wa cm mkwawa kwahyo hyo itanisaidia sanaa
eka hela kwenye tigo pesa/mpesa/airtel money/zpesa then uwe unajiunga kila ukitaka kama hupendi usumbufu wa voucher.
post paid hazina vifurushi vizuri na watu wengi wanalizwa
Mkuu postpaid na wenyewe wako vzuur sabab kupga cm tigo kwenda tgo ni tsh1 per sec,,kwnd mitandao mingne ni tsh2 per sec,,kutuma sms ni sh24 per sms,,,sasa nataka nijiunge nikiona magumash kwa mwez mmoja najitoa tu,,ila kama nikiona wako sawa kwa mahtaj yang bas naendelea nayo....
ni rahisi kujiunga na postpaid ya tigo masharti wamepunguza wana viwango kuanzia 25000 , 50000, 100000 na kuendelea unapojiunga kuna mkataba baina yako na tigo tz na lazima huo mkataba unakuwa wa mwaka na unaweza kuwa na akaunti 2 moja postpaid na ya pili ili ya prepaid unaweka bond kile kiwango chako unachomudu mfano unaweka bond sh 50000 unatumia baada ya mwezi unalipa bili yako ile bond inaendeleaa kuwepo haina mana ukiwa post paid utaongeaaaaaa tu no kuna limit ya pesa uliyoweka