new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 815
- 1,713
Habari zenu wanajukwaa, ebwana mm ni fresh gradiuate, nataman sana kujiuga na jeshi la polisi, nauliza nifanyeje kupata nafasi ya kujiunga? maana ile chance ya watu kujiunga toka chuoni ilinipita maana nilikua nimelazwa hospitali takriban mwezi mmoja, so the time natoka hospital nilikuta muda wa kutuma application umepita, so guys naombeni mawazo yenu juu ya nini nifanye nijiunge na jeshi la polisi kwa mwaka huu?