nataka kujipa BAN

nataka kujipa BAN

Dogo unasema tu ila najua tutakuona humu kabla ya saa sita usiku unacheza na JF wewe?
Lol
BTW: Smiling Saint kama ukiweza kupotea hata kwa siku 3 bila kuonekana na mimi ntafuata mfano wako na nitapotea kwa siku 90


wait and see...
 
Otherwise ntakumiss sana ila najua ntakuona paleee kwenye samaki wa kuchoma......
Mi sina shida sana ila ikifika saa kumi kamili naomba uniachoe ndovu moja ya baridiiiiiiiiiii ya kuniagia

ah ha ha ah ha saa kumi kamili bado ni muda wa kazi, do not drink muda wa kazi....... Erickb52 sawa?
 
Last edited by a moderator:
Jaman swaiba hata km kusoma huwezi hata picha huon baba!!
Usisahu kuwaambia waweke na masala tafadhali!

si hivyo Cantalisia, ila nilikuwa ninataka first hand information....

mie nilidhani zawadi itakayofaa ni nikikuletea poti maaalumu la mtoto kabisa.... si litafaa?
 
Last edited by a moderator:
images
images


Hii makitu itanifaa sana.
jamani bhanaaaaaaa
 
jamani mei leo nimeamua kuwa MOD wa kujitegemea, na kufuatia hilo na kutokana na sababu zilizo ndani ya maamuzi na uwezo wangu, sitakuwa hewani kwa wiki kadhaa, kuanzia leo saa kumi jioni..... nitawamiss sana.... hi to Kongosho, Mwali, Mtei One I hope nitakukuta umepunguza machungu maana Smile kanikimbia pia, BAGAH all ze best, Erickb52, tutawasiliana Saint Ivuga, Preta, Mtalingolo, AshaDii, Asprin, Cantalisia, Rejao na wengine woooooooooooote nitawakumbuka!!

Safari njema huko uendako, ukija unijie na uji wa ngano, maana naendesha rafu sana, afu sina leseni.
Adios...
 
Last edited by a moderator:
Safari njema huko uendako, ukija unijie na uji wa ngano, maana naendesha rafu sana, afu sina leseni.
Adios...


pole mkuu, vipi uji wa mtama utakufaa? nashukuru natamani niwakute wote mkiwa available...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom