Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,085
Naomba unipe kazi ya kukusababishia ban ya exactly hizo week kadhaa unazohitaji!!!:A S 41:jamani mei leo nimeamua kuwa MOD wa kujitegemea, na kufuatia hilo na kutokana na sababu zilizo ndani ya maamuzi na uwezo wangu, sitakuwa hewani kwa wiki kadhaa, kuanzia leo saa kumi jioni..... nitawamiss sana.... hi to Kongosho, Mwali, Mtei One I hope nitakukuta umepunguza machungu maana Smile kanikimbia pia, BAGAH all ze best, Erickb52, tutawasiliana Saint Ivuga, Preta, Mtalingolo, AshaDii, Asprin, Cantalisia, Rejao na wengine woooooooooooote nitawakumbuka!!