Nataka kujifunza English

Nataka kujifunza English

Nakushauri kwanza tafuta mwalimu wa kiswahili sanifu, mwalimu wa isimu ukimaliza hapo mtafute mwalimu wa English structure usiende kwenye syntax wala stylistics sababu kuandika kwako unaonekana kama language proficiencyyako ni ya darasa la nne.

Mkuu, ukitaka kumshauri mtu ambae haelewi, huanzi na kumshusha kama ulivyomwambia kwani tayari umefahamu ana kasoro kwenye grammar hivyo wewe mwonyeshe njia tu hiyo inatosha sana.
 
Mkuu, ukitaka kumshauri mtu ambae haelewi, huanzi na kumshusha kama ulivyomwambia kwani tayari umefahamu ana kasoro kwenye grammar hivyo wewe mwonyeshe njia tu hiyo inatosha sana.
Let them talk najua changamoto kama izi ntakutana nazo sana
 
Jifunze kwanza kiswahili maana ulichoandika hapo ugoro mtupu
 
Me is the teacher of the English,me is to teach him you goog English,him you call me or give me a message
 
Za mchana wadau.
Jaman me English yang sio nzuri Asa kwenye kuongea
So iwant to Learn more
Wapi nitapata British councell nzuri? na huo unajifunza kwa mda gani ?
Nikisubili mwakani kuanza chuo
Hata Kiswahili huwezi kabisa maana umeandika Kizaramo kitupu,jifunze pia Kiswahili.Ni vyema pia ukasema umeishia darasa gani.
 
Me is the teacher of the English,me is to teach him you goog English,him you call me or give me a message
sawa bhana umeamua kwa namna iyo
I give you message or I call you
umejitoa ufahamu
 
Hata Kiswahili huwezi kabisa maana umeandika Kizaramo kitupu,jifunze pia Kiswahili.Ni vyema pia ukasema umeishia darasa gani.
Kinakuaje kizaramo ebu andika kidogo
 
Za mchana wadau.
Jaman me English yang sio nzuri Asa kwenye kuongea
So iwant to Learn more
Wapi nitapata British councell nzuri? na huo unajifunza kwa mda gani ?
Nikisubili mwakani kuanza chuo
Mtafute ras simba
 
Au tafuta mzinga wa konyagi, piga kama mbili hivi utaona kingereza kinapanda chenyewe
 
  • Thanks
Reactions: 789
Back
Top Bottom