Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Hata aquarium hujengiLabda ujenge aquarium ya kufugia Samaki mkuu.
Mchanga ninao wakutosha, nina mifuko 10 pia ya cement
Tafuta fundi akujengee kwa hiyo pesa iliobaki ,hapo kuepuka mchanga kupelekwa na maji na cément kugandaMchanga ninao wakutosha, nina mifuko 10 pia ya cement
Hiyo laki tano unaweza kujenga Mbezi beach mkuu. Nyumba kubwa yenye mpaka Swiming pool na change ukanunua boat la kuvulia samaki nadhani limefika laki na nusu.Nimenunua tofali 400 nimebakiwa na laki 5 natafuta mtu mwenye akili nyingi aniambie jinsi ntakavyokamilisha hata chumba kimoja na kuhamia ikibidi kabaki kachenchi hata elfu 5.
Pia nina mifuko 10 ya cement na mchanga wakutosha Karibuni