Nataka kuishitaki bodi ya mikopo; wadau mnisaidie

Tudai Haki

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
315
80
Mm ni kat ya wanafunz[equivalent] waliopata chuo nikakosa mkopo; kilichoniuma zaidi ni kwa nn bodi icnge2ambia kabla ya kufanya aplication kuwa eqvnt hatutapata mkopo? matokeo yake wanasbr 2shapoteza gharama wanatuambia je huu c utapeli? naomba wadau wenyeuchungu na watoto wa maskn mtuunge mkono ili tupte mwnasheria mzalendo ili tupate haki ze2. waliokosa mikopo wote mniPM ili niwaeleze hatua zinazoendelea.
 
Go ahead kabisa hiyo ni tort ya negligent misstatement/misrepresentation ukiweza kuprove unafidia zinakusubiri!
 
Mm ni kat ya wanafunz[equivalent] waliopata chuo nikakosa mkopo; kilichoniuma zaidi ni kwa nn bodi icnge2ambia kabla ya kufanya aplication kuwa eqvnt hatutapata mkopo? matokeo yake wanasbr 2shapoteza gharama wanatuambia je huu c utapeli? naomba wadau wenyeuchungu na watoto wa maskn mtuunge mkono ili tupte mwnasheria mzalendo ili tupate haki ze2. waliokosa mikopo wote mniPM ili niwaeleze hatua zinazoendelea.

Una kesi nzuri sana na uwezekano wa kushinda ni 99.5% waone kituo cha sheria na haki za binadamu waliopo Lugakingira house au waone NOLA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom