Nataka Kuishi Masaki

Se Busca

Member
Dec 11, 2023
41
72
Hope wazima wakulungwa

Natamani kuishi masaki, masaki pananivutia sana lifestyle yake haina kufatiliana haina umbea yani kila mtu anaishi kivyake natamani siku moja nije kumiliki ardhi masaki, sisi watu wa madeals masaki panatufaa sana kuishi maana hatutakagi kumchomongo

Watoto wa #masakilife waje humu
 
Masaki ya Chanika kwa Ngwale au Chanika Masantula
 
Hope wazima wakulungwa

Natamani kuishi masaki, masaki pananivutia sana lifestyle yake haina kufatiliana haina umbea yani kila mtu anaishi kivyake natamani siku moja nije kumiliki ardhi masaki, sisi watu wa madeals masaki panatufaa sana kuishi maana hatutakagi kumchomongo

Watoto wa #masakilife waje humu
Masaki Tuangoma
 
Masaki hipi unaiongerea? Ya mtwara au?
 
Hope wazima wakulungwa

Natamani kuishi masaki, masaki pananivutia sana lifestyle yake haina kufatiliana haina umbea yani kila mtu anaishi kivyake natamani siku moja nije kumiliki ardhi masaki, sisi watu wa madeals masaki panatufaa sana kuishi maana hatutakagi kumchomongo

Watoto wa #masakilife waje humu
Sikiliza wimbo wa "MBOGA SABA" by Mr.Blue utapata mbinu mle.,..kama itashindikana njoo inbox
 
Hope wazima wakulungwa

Natamani kuishi masaki, masaki pananivutia sana lifestyle yake haina kufatiliana haina umbea yani kila mtu anaishi kivyake natamani siku moja nije kumiliki ardhi masaki, sisi watu wa madeals masaki panatufaa sana kuishi maana hatutakagi kumchomongo

Watoto wa #masakilife waje humu
Mungu akutangulie kwenye kutimiza ndoto zako Mkuu. Ukipenda kuishi Masaki au Osterbay jipange. Viwanja vinapatikana kwa kuwavua watu andaa 1- 3 Billion. Nyingi ya Nyumba zamani zilikuwa za Serikali lkn ziliuzwa kwa Watumishi enzi hizo wengi wao kwa sasa wanastaafu au wamestaafu hivyo wanavuliwa sana. Wengi pia walishauza, ingawa wakati serikali inawauzia kuna kipengele kwenye Mkataba kilizuia kuuza nyumba hizo.
Kuhusu Nyumba za kupanga Masaki zipoo kuanzia BnB, Bungalow, Apartment nk nk ispokuwa kodi jipange kuanzia 2.5-10M kwa mwezi.
Kuishi masaki kwa sie waswahili ni mateso si kitoto, hakuna genge la nyanya, hakuna kibanda cha Mangi, hakuna kituo cha boda boda, hakuna ruti ya dala dala nk nk nk
 
Bodaboda zipo kama kawaida. Mnapa-overrate sana

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom