big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 401
- 1,091
Fremu za kariakoo nyingi zinaboa na vilemba ni chache sana (za kubahatisha sana sio kidogo) zisizo na vilemba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu LamomyHeri ya mwaka mpya wanajamvini[emoji7][emoji7]
Niende moja kwa moja kwenye point… nina 10m itaweza kutosha kuingia kkoo??
Mawazo ya biashara ni
1. Chupi na sidiria, night dresses
2. Cosmetics
Naomba kuuliza frame za kawaida zinarange sh ngapi?? Na mtaji kiasi gani
Au mwenye wazo tofauti please
Kuna mtu kanishauri niende china lakini kwa mwanzo kwenda huko naona bado
Watu waongo kweliHiyo pesa aanzie kuizungushia tandika mtaji ukikua tunamkaribisha kkoo 😀
Otherwise atafute meza kkoo ila frame tutamdanganya..!!
Lile jengo la DDC kuingia bila 85mln bado, sasa hivi vingine aandae 45.
Akiforce anapoteza pesa..!!