Nataka kuingia Kariakoo kibiashara

Pisi kali

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,215
2,418
Heri ya mwaka mpya wanajamvini

Niende moja kwa moja kwenye point… nina 10m itaweza kutosha kuingia kkoo??

Mawazo ya biashara ni

1. Chupi na sidiria, night dresses

2. Cosmetics

Naomba kuuliza frame za kawaida zinarange sh ngapi?? Na mtaji kiasi gani

Au mwenye wazo tofauti please

Kuna mtu kanishauri niende china lakini kwa mwanzo kwenda huko naona bado
 
Hapo anza na goli mkuu,,fremu hutaweza kwa mtaji huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za chini inaweza kuwa bei gani mkuu au hazipatikani?
Inapatikana kaka sema nyingi zina-range 800k mpaka 1.5M, kama huna haraka unalipia wakati ujenzi unaendelea mfano pale msimbazi B karibu na office za star times kuna ujenzi unaendelea unaongea na wahusika unatia pesa kabla hapajaanza kugombaniwa au pale karibu na sandaland Kuna ujenzi umeanza unalipia mapema hii wanafanya wale ambao hawana haraka na hawataki frame za ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom